brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
View attachment 1348747
Hicho ni kikaushio cha kutumia mwanga wa jua. Nyanya inakatwa slices na kupangwa kwenye tray halafu inawekwa kwenye kikaushio kama hicho. Nanunua kipindi creti ni elfu 5, naanika kama creti 3 napata ndoo nzima ya nyanya kavu. Mwaka mzima hakuna kununua nyanya.
Naomba picha ya nyanya iliokaushwa kwa karibu nione
Hicho kikaushio kinapatikana wapi