Huu mwaka umekuwa wa neema kwa walima Nyanya, Vitunguu, Malimao/Ndimu etc
Jana mepita mahali sadoline ya vitunguu TZS20,000 - 30ooo/=
Kweli lile shairi la darasa la NNE miaka ile ya 80-90s "karudi baba mmoja toka safari ya mbali ..." akawahusia wanaeee "....mali mtazipata shambani."