Kupanda ghafla kwa bei ya nyanya na mbogamboga iwe funzo kwetu

Huu mwaka umekuwa wa neema kwa walima Nyanya, Vitunguu, Malimao/Ndimu etc

Jana mepita mahali sadoline ya vitunguu TZS20,000 - 30ooo/=

Kweli lile shairi la darasa la NNE miaka ile ya 80-90s "karudi baba mmoja toka safari ya mbali ..." akawahusia wanaeee "....mali mtazipata shambani."
 
Huko wapi mkuu najua machimbo ya vitunguu na nyanya bei rahisi
 
Back
Top Bottom