Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Heri wangapandisha chakula bei kuliko pombe! Lol
Ndugu yangu mimi ni ile Heineken ya Kichina!
Heri wangapandisha chakula bei kuliko pombe! Lol
Hahhaahaa, usinikumbushe boha la Lushoto, ile pombe bwana ni tamu kama sukari ya muwa but as time passes on, ndo uchangamfu unazidi kuongezeka, I think tumepata sababu ya msingi ya kufungua bar zetu za kienyeji huku jijini....
niwajuavyo wapiga ulabu, hawato acha kukamata beer watazitwanga kama kawa, shida hipo kwa familia zao. Mimi nawaonea huruma watoto wa vyapombe maana ongezeko hili ni balaa kwao hakuna chapombe atakaye ombwa hela ya daftari wakati ana buku tano mfukoni akubali kutoa, yaani hapunguze hela ya beere katuuu, poleeni familia za vyapombe kiama chaja, nafaka bei juu, umeme bei juu (tena wa mgao) maji bei juu (tena ya mgao au ya visima) sugar bei juu na sasa beere bei juu
MAISHA YATAPANDA KWA KASI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA ARI ZAIDI ( AHADI YA JK sasa YATIMIA)
Kweli zumbe,umenikumbusha wkt naskongeka tosa,nilikuwa nachapa kitu "ulanzi"ambacho kinabadilika jina kadiri siku zinavyoenda from the day ulipogemwa. Ule fresh wa day one unaitwa mtogwa,day2 mkangafu,day3 mdindifu n.k.changes ya majina is also attributed with alcohol %age increase that is known lkn utajua hiyo change baada ya kutest.Mtogwa ni tamu kama togwa na ukinywa unaweza rudi home fresh tu,mziki ni pale unapoamka usiku kwenda shortcall ndo unajiona umelewa,inakata mawasiliano ya magoti.Wonderful indeed.WanaJF naona vitu vyetu vya asili ni bomba,tuvitetee.
Tanzania Breweries Limited (TBL) wametangaza kwamba kuanzia tarehe 14 february 2011 bei za bia wanazotengeneza itapanda.... wakielezea sababu mbali mbali nyingi zikiwa ni kupanda kwa gharama za uzalishaji....
Brands za TBL ni pamoja na Safari Lager, Kilimanjaro Lager, Castle Lager, Castle lite, Ndovu special Malt, Reds apple na nyingine
nyingi
source:Bandiko la TBL kwenye The citizen 11/02/2011
twende kazi...hata kabla ya budget, bado recharge vouchers za simu
Ni habari njema hizi kwani bei ya pombe kupanda itasaidia kubana matumizi kwa walevi na kusaidia kujenga familia badala ya kunywa pombe ovyo!!!
Tunangoja na sigara pia ipande bei mara dufu!
Ila mwisho wa siku nadhani mbege ndio inafunika pombe zote..brand ya ukweli
Heri wangapandisha chakula bei kuliko pombe! Lol
drink beer save water
mbona mbege hamuitaji? tatizo uzalishaji wa ndizi unazidi kudidimia. wananchi wanapaswa kujua somo la ujasiriamali.
Simple brain, unajua kiasi gani cha maji yanatumika kwenye mitambo ya kutengeneza bia?