Kupanda kwa bei ya bia

Kupanda kwa bei ya bia

Heri wangapandisha chakula bei kuliko pombe! Lol

ningependa sana nisikie mchele kilo buku 4 na sembe kilo buku3, sukari buku 5, mafuta ya taa lita buku 10 uone km kuna mtanzania atalalamika, wataona ni kawaida tu maisha kuwa magumu, hata ukimuelekezea mtutu wa bunduki aandamane hatathubutu kwani anaona ni utomvu wa nidhamu kwa serikali. ni watiifu sana wabongo, hata mimi ni mtiifu wa kujilazimisha.
 
niwajuavyo wapiga ulabu, hawato acha kukamata beer watazitwanga kama kawa, shida hipo kwa familia zao. Mimi nawaonea huruma watoto wa vyapombe maana ongezeko hili ni balaa kwao hakuna chapombe atakaye ombwa hela ya daftari wakati ana buku tano mfukoni akubali kutoa, yaani hapunguze hela ya beere katuuu, poleeni familia za vyapombe kiama chaja, nafaka bei juu, umeme bei juu (tena wa mgao) maji bei juu (tena ya mgao au ya visima) sugar bei juu na sasa beere bei juu

MAISHA YATAPANDA KWA KASI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA ARI ZAIDI ( AHADI YA JK sasa YATIMIA)
 
Hahhaahaa, usinikumbushe boha la Lushoto, ile pombe bwana ni tamu kama sukari ya muwa but as time passes on, ndo uchangamfu unazidi kuongezeka, I think tumepata sababu ya msingi ya kufungua bar zetu za kienyeji huku jijini....

mkuu ile kitu haina hangover wala nini. pia kuna nyingne inatengenezwa kwa ndizi, (banana) nayo si mchezo.
 
niwajuavyo wapiga ulabu, hawato acha kukamata beer watazitwanga kama kawa, shida hipo kwa familia zao. Mimi nawaonea huruma watoto wa vyapombe maana ongezeko hili ni balaa kwao hakuna chapombe atakaye ombwa hela ya daftari wakati ana buku tano mfukoni akubali kutoa, yaani hapunguze hela ya beere katuuu, poleeni familia za vyapombe kiama chaja, nafaka bei juu, umeme bei juu (tena wa mgao) maji bei juu (tena ya mgao au ya visima) sugar bei juu na sasa beere bei juu

MAISHA YATAPANDA KWA KASI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA ARI ZAIDI ( AHADI YA JK sasa YATIMIA)

mkuu...kweli naunga mkono kuwaonea huruma familia.... mimi nadhani ungewaonea huruma zaidi TRA
 
Kweli zumbe,umenikumbusha wkt naskongeka tosa,nilikuwa nachapa kitu "ulanzi"ambacho kinabadilika jina kadiri siku zinavyoenda from the day ulipogemwa. Ule fresh wa day one unaitwa mtogwa,day2 mkangafu,day3 mdindifu n.k.changes ya majina is also attributed with alcohol %age increase that is known lkn utajua hiyo change baada ya kutest.Mtogwa ni tamu kama togwa na ukinywa unaweza rudi home fresh tu,mziki ni pale unapoamka usiku kwenda shortcall ndo unajiona umelewa,inakata mawasiliano ya magoti.Wonderful indeed.WanaJF naona vitu vyetu vya asili ni bomba,tuvitetee.
 
mimi mwenyewe niliskuli tosa, niliugonga sana maeneo ya banewano, msiwasi na ipamba, tatizo la ulanzi unanyong'onyeza magoti ile mbaya.
 
Ila mwisho wa siku nadhani mbege ndio inafunika pombe zote..brand ya ukweli
 
Tanzania Breweries Limited (TBL) wametangaza kwamba kuanzia tarehe 14 february 2011 bei za bia wanazotengeneza itapanda.... wakielezea sababu mbali mbali nyingi zikiwa ni kupanda kwa gharama za uzalishaji....

Brands za TBL ni pamoja na Safari Lager, Kilimanjaro Lager, Castle Lager, Castle lite, Ndovu special Malt, Reds apple na nyingine
nyingi

source:Bandiko la TBL kwenye The citizen 11/02/2011

twende kazi...hata kabla ya budget, bado recharge vouchers za simu

Ni habari njema hizi kwani bei ya pombe kupanda itasaidia kubana matumizi kwa walevi na kusaidia kujenga familia badala ya kunywa pombe ovyo!!!
Tunangoja na sigara pia ipande bei mara dufu!
 
Ni habari njema hizi kwani bei ya pombe kupanda itasaidia kubana matumizi kwa walevi na kusaidia kujenga familia badala ya kunywa pombe ovyo!!!
Tunangoja na sigara pia ipande bei mara dufu!

drink beer save water
 
Ila mwisho wa siku nadhani mbege ndio inafunika pombe zote..brand ya ukweli

shubutuuuu!!! umeshawahi kuonja boha la lushoto au mnazi??? mbege km reds tu, watakunywa wadada tu.
 
Ila mwisho wa siku nadhani mbege ndio inafunika pombe zote..brand ya ukweli
 
mbona mbege hamuitaji? tatizo uzalishaji wa ndizi unazidi kudidimia. wananchi wanapaswa kujua somo la ujasiriamali.
 
mbona mbege hamuitaji? tatizo uzalishaji wa ndizi unazidi kudidimia. wananchi wanapaswa kujua somo la ujasiriamali.

mkuu.. ndizi sasa imeingia kwenye uzalishaji wa Banana wine... tena industrial ... kuna kiwanda kikubwa arusha na hapa DSM kuna Dr. Ulomi wa UDEC (UDSM) nae anakiwanda cha Banana ubungo
 
Naunga mkono ongezeko la bia, nasikitikia ongezeko la bei za chakula.
Lets stay sober
 
Sukari ilianza wote tukaona mh! Maisha gani haya! Ah ni mengi bwana sijui nisemeje umeme nao! Bora basi uwepo. Jamaa mmoja kanidokeza kuwa ilimbidi apite baa kidogo atokapo kazini apate japo moja ya moto akisubiri umeme urudi. Sasa atazidi kuugulia kabia juu umeme no ndani giza watoto, mama baba wanagongana sebuleni
 
Back
Top Bottom