Buchumipetro
Member
- Mar 7, 2025
- 20
- 33
Jamani mbona mahindi yamepanda bei sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini unashangaa? ni kawaida kila mwaka February na march bei inakuwa juu kabla ya mazao mapya hayajaanza kuingia sokoni mwezi April na MayJamani mbona mahindi yamepanda bei sana?
Huoni jua?Jamani mbona mahindi yamepanda bei sana?
Kwani Jua haulioni?Jamani mbona mahindi yamepanda bei sana?
Endelea kuuliza na hiyo jamani Yako,hapo BadoJamani mbona mahindi yamepanda bei sana?
gunia ninalo nauza 75000 tu bei ya wap hiyo.95000
Kijijini kwangu Debe 20K kwa sasa!Endelea kuuliza na hiyo jamani Yako,hapo Bado
Duh!niliwahi kushauri miaka ya 2012 enzi waziri mkuu pinda kila siku anafunga mipaka kuwa tuuze chakula nje hata kama watu watakufa kwa njaa milioni 5 nchi iachane nao bora wafe maana waliataka wenyewe watu wakaniona nina roho mbaya, magufuli baada ya kusisitiza hakuna chakula cha msaada kamwe na watu wakauze wanapotaka leo watanzania wengi wamewekeza kwenye ilimo na kinaonekana kina faida hasahasa watu wa kati, 2014 nilishawahi kuvuna mahindi nikauza gunia sh 12000 wenzangu waliuza elfu 7000 upuuzi mtupu kila mtu alichukia kilimo, hata mabenki yalikuwa hayakopeshi kabisa wakulima, kwa hiyo bora yapande sana gunia ifike laki 2 wakulima wengi na wafanyabiashara wa kati wapat faida ya kutosha ukiona gharama kubwa na wewe kawekeze kwenye kilimo kama rahisi, tena nashauri NFRA iwahi kuuza mahindi mpunga na maharage sudan kaskazini na sudan kusini kuna uhitaji mno wa chakula , Mtanzania akipokuwa na uwezo afe tu ndo haki yake kwa muda huu