Kupanda kwa bei ya mahindi

Kupanda kwa bei ya mahindi

Hapa nilipo Store karibu zote za mahindi zaserikal zimepelekwa nje(Uganda, Zambia n.k
Hali unaenda kuwa mbaya zaidi baada yakua kali, wadudu kushambulia mimea,

Wengine mpaka Sasa hawaeleww mbolea yakwanza ndio wmetia amvua inagusa achia,

Hii Bei itapanda maradufu , kama unapesa nunua kabisa mzigo wakutosha weka store
 
niliwahi kushauri miaka ya 2012 enzi waziri mkuu pinda kila siku anafunga mipaka kuwa tuuze chakula nje hata kama watu watakufa kwa njaa milioni 5 nchi iachane nao bora wafe maana waliataka wenyewe watu wakaniona nina roho mbaya, magufuli baada ya kusisitiza hakuna chakula cha msaada kamwe na watu wakauze wanapotaka leo watanzania wengi wamewekeza kwenye ilimo na kinaonekana kina faida hasahasa watu wa kati, 2014 nilishawahi kuvuna mahindi nikauza gunia sh 12000 wenzangu waliuza elfu 7000 upuuzi mtupu kila mtu alichukia kilimo, hata mabenki yalikuwa hayakopeshi kabisa wakulima, kwa hiyo bora yapande sana gunia ifike laki 2 wakulima wengi na wafanyabiashara wa kati wapat faida ya kutosha ukiona gharama kubwa na wewe kawekeze kwenye kilimo kama rahisi, tena nashauri NFRA iwahi kuuza mahindi mpunga na maharage sudan kaskazini na sudan kusini kuna uhitaji mno wa chakula , Mtanzania akipokuwa na uwezo afe tu ndo haki yake kwa muda huu
 
Duh!
 
Back
Top Bottom