kupanda kwa daraja la kufaulu mtihani wa kidato cha nne.

kupanda kwa daraja la kufaulu mtihani wa kidato cha nne.

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
naomba majibu yenu wadau! hivi ni kweli passmark za kidato cha nne zimepandishwa? na kama kweli zimepandishwa,ni kwa hawa S.C na sio PC maana passmark za PC zilikuwa juu tangu mda.hebu nipeni uhakika.
 
Mkuu kwa mujibu wa baraza la Mitihani (NECTA) ni kuwa alama hizo zimepanda tangu mwaka 2010 ambapo watahiniwa waliazna kutumia grade hizo hatimaye mwaka huu kuleta madhara zaidi, ndio maana hata wizara inashusha qualification za kuingia alevel ziwe C 2 na D pass 3, Pia kuhusu swala zima la PC alama za ufahulu zipo juu tangu zamani.
 
Napenda kukujulisha kuwa NECTA haijapandisha alama za ufaulu kwa O-level. Usidanganyike!
Endapo kungekuwepo mabadiliko Baraza lingeujulisha umma wa Watanzania!
NECTA hawafanyi kazi kwa kubahatisha.
 
Napenda kukujulisha kuwa NECTA haijapandisha alama za ufaulu kwa O-level. Usidanganyike!
Endapo kungekuwepo mabadiliko Baraza lingeujulisha umma wa Watanzania!
NECTA hawafanyi kazi kwa kubahatisha.

sasa nani mkweli hebu tuambieni ukwel. jaman kwa mnaojua tunaomba msaada juu ya hili
 
Napenda kukujulisha kuwa NECTA haijapandisha alama za ufaulu kwa O-level. Usidanganyike!
Endapo kungekuwepo mabadiliko Baraza lingeujulisha umma wa Watanzania!
NECTA hawafanyi kazi kwa kubahatisha.

Acha kupotosha umma ww, yani w unaongea tu kwani uadhani haya mambo ni watu tumejitungia?
 
Back
Top Bottom