Kupanda kwa gharama za maisha

Kupanda kwa gharama za maisha

Ukicheka na nyani kinachobakia ni kuvuna mabua....... Hawa wameshajua hawana baraka za wananchi ndio maana wanakiburi.

Sema wanaotuangusha ni hawa wanaopenda itwa wanyonge. Kwanza hawalipi kodi maana wapo nje ya mzunguko wa pesa kwa asilimia kubwa sana. So balaa tunalibeba sisi ili wao wajengewe hospital na shule zitazotegemea wahisani kuendeshwa.

Hapa hatutaweza toka kirahisi tukiendelea na hizi ngonjera za lawama.
Mwigulu can make wonders, to use your mental strength to its full advantage, you need to focus on developing it just as you would any other high-value skill.

Honing your sense of purpose and cultivating your ability to make good things happen are part of that process.
 
Huku wafanyakazi wakiishia kulipa mi kodi kila waendako, Mshahara huo huo unalimwa Payee...akituma pesa unalimwa Tozo, akinunua kitu unalimwa VAT...

Aisee
 
fafanua hao wanyonge wanakuangushaje.
Fanya hii experiment katika familia yako then utanielewa.

Wewe na mkeo muwe mnafanya kazi. Halafu chukua watu wazima hata kumi, wanaweza kuwa majirani au ndugu zenu. Kisha wawe kazi yao ni kukaa tu hapo ndani ninyi mkiwahudumia kwa kila mahitaji yao. Nguo, umeme, kulipia ving'amuzi, vocha, chakula, vinywaji etc. Ila hawa watu wasiwe na kazi yoyote zaidi ya kulala na kushinda ndani tu.

Kisha cheki mapato na matumizi yako ndani ya mwaka halafu uone pesa nyingi inapokwenda ni penye tija na inarudisha nguvu inayotoka?!

Halafu test kitu cha pili. Uwe na watu wazima hata kumi, ila wawe anashiriki katika miradi yako midogo ya maendeleo kama wafanya kazi wako. Lakini pia wanachangia au kusaidia kulipa bili zako za nyumbani. Huku wewe na mkeo mkiwa kazini kama ule mfano wa kwanza.

Halafu baada ya mwaka tazama picha yako ya mapato na matumizi uone upande wa matumizi umeathirika vipi na upande wa mapato umekuwaje?!

Its a very simple science ambayo haitaki Havard degree kujua nini kinatakiwa kufanyika kwenye uchumi wa inchi.
 
Mwigulu can make wonders, to use your mental strength to its full advantage, you need to focus on developing it just as you would any other high-value skill.

Honing your sense of purpose and cultivating your ability to make good things happen are part of that process.
The only wonders that he is capable of is incompetence. He has no ability to even run a kiosk business.

This country is very easy to run and control. The problem is we give authority in the hands of incompetent individuals such as Mwigulu to run affairs of the public plus authority to make ineffective policies.
 
Nina shaka kuna genge hatari la wanyang'anyi linaloyumbisha nchi na kuumiza umma.Genge hili huenda kukuta lina nguvu kubwa kuliko Serikali tunayoiona.
 
Kweli kabisa. Ni taasisi ambayo ni chama+NEC+Msajili+TISS+Polisi. Poleni Watanzania. Mnahitaji wapigania uhuru wengine tena ili muwe na uwezo wa kuchagua viongozi na chama mnachotaka.
ccm imeshavuka stage ya chama cha siasa saaahv inaitwa taasisi, sasa izo kelele zenu ni non-factor
 
Hizi ni ngonjera. Tanzania hatukuwa na Covid 19. Hii awamu ya 6 imelazimisha Covid 19 ionekane ipo, lakini sisi huku vijijini tunajua hizo ni propaganda za mabeberu
Kwani umefanya research nchi nzima? Na je hujui kuwa hii ni affects ya covid 19 ya around ya kwanza na pili, nchi nyingi hazikuzalisha mazao kwa sababu ya lockdown. Ndo maana nasi tumeathirika maana Tz sio kisiwa wala hatuelei hewani bali tunategemeana sana na mataifa mengine.
 
Unajifanya umesahau tulivyoambiwa sisi tuchape kazi, ili hao wa huko walioweka lock down tuje tuwapige bei? Au ndiyo tumeshindwa huwapiga bei?

Mimi wa kijijini sina haja ya kubishana sana. Niliisikiliza sana serikali yangu hasa ya shujaa JPM, na ule ushindi tulioutangaza na zile mbwembwe tulizoambiwa tumeingia uchumi wa kati.
 
Ni kweli sisi tulifanya kazi sana, lkn kumbuka vitu tunavyozalisha sisi havitoshelezi kwa mahitaji yetu mfano wa sukari, mafuta n.k. hivyo tunategemea kuagiza kutoka nje ambao sasa waliokuwa lock down. Ko hivi vichache tulivyonavyo tunagombaniana na hao ndugu wa nchi nyingine. Matokeo yake uwitaji unakuwa mkubwa kuliko idadi ya kile kinachohitajiwa.
Ko elewa kuwa jilani yako anapopata shida, madhara yake yanakufikia hata wewe.
 
Kweli kabisa. Ni taasisi ambayo ni chama+NEC+Msajili+TISS+Polisi. Poleni Watanzania. Mnahitaji wapigania uhuru wengine tena ili muwe na uwezo wa kuchagua viongozi na chama mnachotaka.

nani amekwambia tunataka chama kingine apart from ccm? ivo vingine basi tu wazungu wafurahi ila hamna anaewataka
 
Majizi Hata Ccm Yapo
Mabeberu Hawatupendi
Wapinzani Wametuchelewesha Mno
Tumelaliwa Mno Ndugu Zangu
Tumelaliwa Sana Ndugu Zangu
 
Tunasubiri anguko lake, lile la bashite lilikuwa chombeza tuu! Maana kwasasa kajiachiaa kama vile Mungu anatokea kwa kijiji chao.
bashiye yuko masaki mkuu,kudhani ameanguka ni kujipumbaza ili maisha yaendelee.
 
Nasikia dar leo kuna nandy Festival

Ova
 
Huku wafanyakazi wakiishia kulipa mi kodi kila waendako, Mshahara huo huo unalimwa Payee...akituma pesa unalimwa Tozo, akinunua kitu unalimwa VAT...

Aisee
Mkuu umeona eeh, wafanyakazi ndo walishafanywa watumwa wa kugharamia ma viieite ya hii sirikali na chama chakavu..........mshahara wenyewe wanalipwa kiduchu bado mshahara unapigwa PAYE juu kwa juu, akija huku tozo, akirudi kule VAT. Wafanyakazi wa Tanzania wana abuse uwezo walio nao, wanaweza kumweka au kumwondoa mwanasiasa yoyote yule kwa wakati wowote ule, aina ya siasa na hata aina uchumi wanaoutaka........inakuwaje wanayumbishwa na wanasiasa ambao wengi ni watupu kichwani?
 
bashiye yuko masaki mkuu,kudhani ameanguka ni kujipumbaza ili maisha yaendelee.
Kwani kuwa masaki ni nini mkuu hahaha masaki mbona kwa kawaida sana, anguko lipo palepale.....kama ww ni chawa wake mjiandaee.... kaa kwa kutulia
 
Kwani kuwa masaki ni nini mkuu hahaha masaki mbona kwa kawaida sana, anguko lipo palepale.....kama ww ni chawa wake mjiandaee.... kaa kwa kutulia
sijui utaniita chawa wake ama kunguni,hainishtui ila najaribu tu kutumia akili sio hisia.

kama kutoka usukumani anaishi masaki halafu unaita ni kawaida tu sawa.
 
Nijambo la kushangaza sana ,wananchi wanahuzuni kubwa kutokana na maisha kupanda kiasi hiki, lita ya petrol 2500, mafuta ya kula 6000 lita, makato ya simu kuongezeka,

KUNA NINI NYUMA YA PAZIA?, mtueleze wananchi kuna nini kwenye uchumi,wananchi wanawalipa mishahara ,magari mazuri na kila raha njema mmepewa mmeshindwa kushughulikia matatizo yaha ya msingi.CCM ndio chama tawala bungeni mpo 100%.

Mumefunga midomo mnatuletea comedy za Gwajima ,mnaacha mambo ya msingi yanayogusa maisha ya wananchi,,Mnalipwa fedha nyingi bungeni ,badala yake mnazidi kuwapandishia wananchi gharama za maisha
ni uchaguzi wako kupika kwa kutumia mafuta ilihali hicho unachopika kina mafuta yake tayari. Usitake starehe iwe lazima- miye siko na wewe
 
Back
Top Bottom