Kupanda Ligi Kuu kwa timu ya KenGold inadhihirisha kwamba Mbeya ni mkoa wa soka na Vipaji. Kwanini Serikali haijengi uwanja wa kisasa Mbeya?

Acha kulalamika mtoa mada.Huo uwanja wa sokoine kwani ni msitu au bwawa kwamba mpira hauchezeki?Serikali haiwezi kufanya vitu vyote kwa wakati mmoja.
Hata kama Kuna vipaji lakini siyo sababu ya kuzumnguza kauli za kibaguzi na uchonganishi.
Soma na elewa mada.
 
Umekula maharage ya wapi wewe?
 

View: https://www.instagram.com/reel/C6UO6XbLkFG/?igsh=Y3V2NzIzc2JleDR6
 
Hizo timu mbona zikipanda ligi kuu zinashuka tena?

Kuhusu vipaji vya mpira Tanzania hamna vipaji vya mpira

Hamna wachezaji wenye uwezo wa kucheza mpira wenye skills Kama Azizi K .

Ukimtoa samatta ambaye kipaji chake kimetokana na kujitunza .

Hawa wachezaji wetu bado Sana.
 
Akili huna yaani kwako Aziz Ki ndio umeona ni kipaji au?
 
Kwani serikali imejenga viwanja vya kisasa mikoa gani mingine hadi useme Mbeya wanatengwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…