Kupanda mnazi kwa mkono mmoja Kutaniua

njoo inbox nikusikilize vizuri inaonekana una tatizo kweli!
 
Shule hazijafungwa means umeingia shule na simu na kuificha chini ya godoro au umeiba simu ya dada yako upo day schol? Unaleta story za kipuuzi hujui baba na babu zako unatuaibisha au wewe ni yule afande mchele?
Nipo chuo mambo ya shule umesema wewe
Dalili za ulijali hizo, hongera. Wengine hata waone K ngoma hata haishtuki
Daah! Ahsante ndio raha ya kuwa na watu wanayojua maisha
Tafuta mke uoe
Weee na miaka yangu 19 namlisha nini?
Urijali uo, Nyeto ni nature ya kila mwanaume rijali pale anapokuwa na nyege afu huna demu ila ukiwa na demu utapunguza kupiga au hautapiga kabisa.

Jitaidi kama unapiga nyeto upige kwa kiasi na upige pale unapokuwa na nyege sana usipige kama chakula.
Ahsante sana kwa ushauri mana naona hata mimi kuacha ni mziki
Yeeees
Wewe mtoto wewe unataka kutujadilisha nini sisi mama zako na baba zako?
Kuwa na adabu.
Nilikuita?
 
Endelea kula mkono kama inakupa furaha na amani we jimalize.

Ila jitahidi kupambana na uoga uliopo ndani mwako, maamuzi yanaanzia kuubali ukweli ulioko ndani mwako na kuamua kwa vitendo kubadili
 
Endelea kula mkono kama inakupa furaha na amani we jimalize.

Ila jitahidi kupambana na uoga uliopo ndani mwako, maamuzi yanaanzia kuubali ukweli ulioko ndani mwako na kuamua kwa vitendo kubadili
Ahsante ila nyeto hainipi furaha katu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…