Kupanda mnazi kwa mkono mmoja Kutaniua

Kupanda mnazi kwa mkono mmoja Kutaniua

Mimi ni kijana nipo na 19years sijawahi sex na pia nina mchumba ila nadra sana kuonana nae inaweza pia miezi hata minne hatujaonana.

Hii imetokana na tabia yangu au malezi yangu ambayo kama sina issue nakaa tu ndani home mwenyewe tu. Japo manzi anataka tuonane ila nasikia uvivu kuzurura na issu hainipi hata pesa.

Nikajaribu sana kuacha huuu mchezo ila nakwama sehemu moja wakati wa kulala nikishaongea na mchumba saa 7 au 8 akili inanijia natafuta gif za sex hasa za mdomo japo zamani nilitumia anal ila nilipambana kujiaminisha huo ni uchafu na nashukuru now nikiona hata x ya namna hiyo hainivutii sana.

Hua sifanyi kila siku ninaweza kaa siku 4 mpk 12 kwenye progress yangu ila mwisho wa siku naangukia kulekule jana nimejilipua na progress yangu iliyokuwa 8days nimechoshwa sasa na hii tabia.

Kila nikiingia kitandani usiku mnene mawazo mabaya yananijia.

Tena bora sasa hivi nafanya moja zamani nilikuwa naenda hata bao tatu kwa pamoja.

😔😔😔😔 Msaada wenu
Mwanangu...unajiita shetani halafu usitegemee kupata mawazo mabaya inawezekana vipi?
 
Mm ni mwanao?
😂😂😂 We ujui ukongwe wa reli treni inapita tu anyway nitabadili jina
Mwanangu...unajiita shetani halafu usitegemee kupata mawazo mabaya inawezekana vipi?
 
USHAURI

Kijana ukitaka kuoa / kuolewa angalia background ya Familia, kuna Familia zina zalisha vilaza kama mleta mada .
 
Mimi ni kijana nipo na 19years sijawahi sex na pia nina mchumba ila nadra sana kuonana nae inaweza pia miezi hata minne hatujaonana.

Hii imetokana na tabia yangu au malezi yangu ambayo kama sina issue nakaa tu ndani home mwenyewe tu. Japo manzi anataka tuonane ila nasikia uvivu kuzurura na issu hainipi hata pesa.

Nikajaribu sana kuacha huuu mchezo ila nakwama sehemu moja wakati wa kulala nikishaongea na mchumba saa 7 au 8 akili inanijia natafuta gif za sex hasa za mdomo japo zamani nilitumia anal ila nilipambana kujiaminisha huo ni uchafu na nashukuru now nikiona hata x ya namna hiyo hainivutii sana.

Hua sifanyi kila siku ninaweza kaa siku 4 mpk 12 kwenye progress yangu ila mwisho wa siku naangukia kulekule jana nimejilipua na progress yangu iliyokuwa 8days nimechoshwa sasa na hii tabia.

Kila nikiingia kitandani usiku mnene mawazo mabaya yananijia.

Tena bora sasa hivi nafanya moja zamani nilikuwa naenda hata bao tatu kwa pamoja.

😔😔😔😔 Msaada wenu
dronedrake mzee wa babycare
 
Kwanza ukubali kuwa una progress nzuri. usipojikubali kwa hilo utarudi ulipotoka.
Hivyo kila mara jikumbushe kuwa unafanya vizuri, una progress nzuri. JIKUBALI na ujisifie pale unapokua na maendeleo yoyote, usijishushe na kuona unafanya vibaya.

Pili achana na kuhesabu siku. Hesabu siku kwa jambo lingine. Mfano mi nilijiwekea kuwa nataka nicheze chess kwa siku 10 badala ya kuhesabu sijapiga puli kwa siku kumi. Nguvu zako elekezea kwenye kitu kingine unachokitaka. Jifunze chochote tu au fanya chochote alimradi kinatoa attention yako kwenye kuhesabu hujapiga puli siku ngapi.

Tatu, kama huyo mpenzi huna mpango naye achana naye unampotezea muda. Kama unampango naye anza kufanya kitu ambacho hujazoea (get out of your comfort zone). Hauna njia nyingine. Pia usisubiri muujiza.
 
Hii kitu sio nzuri bado napambana leo nimeruka fensi mara mbili
 
Back
Top Bottom