Kupanda mnazi kwa mkono mmoja Kutaniua

Mwanangu...unajiita shetani halafu usitegemee kupata mawazo mabaya inawezekana vipi?
 
Mm ni mwanao?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We ujui ukongwe wa reli treni inapita tu anyway nitabadili jina
Mwanangu...unajiita shetani halafu usitegemee kupata mawazo mabaya inawezekana vipi?
 
USHAURI

Kijana ukitaka kuoa / kuolewa angalia background ya Familia, kuna Familia zina zalisha vilaza kama mleta mada .
 
dronedrake mzee wa babycare
 
Kwanza ukubali kuwa una progress nzuri. usipojikubali kwa hilo utarudi ulipotoka.
Hivyo kila mara jikumbushe kuwa unafanya vizuri, una progress nzuri. JIKUBALI na ujisifie pale unapokua na maendeleo yoyote, usijishushe na kuona unafanya vibaya.

Pili achana na kuhesabu siku. Hesabu siku kwa jambo lingine. Mfano mi nilijiwekea kuwa nataka nicheze chess kwa siku 10 badala ya kuhesabu sijapiga puli kwa siku kumi. Nguvu zako elekezea kwenye kitu kingine unachokitaka. Jifunze chochote tu au fanya chochote alimradi kinatoa attention yako kwenye kuhesabu hujapiga puli siku ngapi.

Tatu, kama huyo mpenzi huna mpango naye achana naye unampotezea muda. Kama unampango naye anza kufanya kitu ambacho hujazoea (get out of your comfort zone). Hauna njia nyingine. Pia usisubiri muujiza.
 
Hii kitu sio nzuri bado napambana leo nimeruka fensi mara mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…