Kupanda msahara wa wachimba migodi afrika kusini walimu tanzania mmejifunza?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Mgomo wa migodi afrika kusini kwa muda wa miezi 5 umewawezesha leo kufikia makubaliano ya kulipwa $1200 toka $450 kwa mwezi pia kupata huduma za afya na nyumba.Jee nyie waalimu mnashindwa nini kuungana kupata malipo bora?
 
Hukuwepo 2010 walitaka goma wakaambiwa kura zenu zisitaki na hela haiongezwi
 
Ualimu tz ni wito..,,waache wapige kazi.

nalipwa 589000 we unalipwa ngapi? Maana naona mmegangania walimu na huku mishahara ya utumish wa umma ni sawa. Ukitoa manes na madaktar ambao kiukwel kaz yao ngumu i.e cm iwe hewan 24 hrz maana emergency n mda wowote hata midnight, vidonda, maiti, harufu ya wod, majeraha ya ajal, operations.etc! Am proud to be a teacher kaz yangu hainiban after 2:40 nko free kufanya mambo yangu.
 
safi sana, im proud too, huyu jamaa analeta stori za ualimu wa 1947
 
Hamna cha walimu walann acheni kuwaonea watumishi wa umma karibia wote mishahara ileile tu.. mshahara wa mwalimu wa hauna tofauti na cashier au masijala.. muhimu serikali iboreshe sekta zote mishahara
 
nalipwa 589000 we unalipwa ngapi? Maana naona mmegangania walimu na huku mishahara ya utumish wa umma ni sawa. Ukitoa manes na madaktar ambao kiukwel kaz yao ngumu i.e cm iwe hewan 24 hrz maana emergency n mda wowote hata midnight, vidonda, maiti, harufu ya wod, majeraha ya ajal, operations.etc! Am proud to be a teacher kaz yangu hainiban after 2:40 nko free kufanya mambo yangu.

Tukianza jadili vipato vyetu utaona nakutamanisha maisha mkuu. Hoja yangu ilijikita kwenye ari yao ya kudai madai yao! Hivi unafahamu madai katika malimbikizo ya walimu yameanza mwaka gani? Unafahamu mpaka sasa wastaafu wangapi hawajalipwa stahili zao? Nasisitiza,usitake tuingie kwenye kujadili vipato!!
 
We Hujui Lolote Wewe Unaleta Bla Bla Tu Humu, Haya Nitajie Scale Za Mishahara Serikalini? Ukiona Hujui Ujue Unajipamba Tu
 
Punguza jazba basi Mwalimu Sam,anaejipamba ni yule aliyetaja mshahara wake!! Nimetoa ufafanuzi kuwa hoja yangu ipo katika ari yenu kudai madai yenu. Wewe bila shaka ni walimu wa juzi juzi tuu na unajifanya unajua!!
 
Endelea kujifariji na hiyo 589000 najua ikigongwa makato inayobaki ni siri yako lkn mkuu anahimiza umoja ili nanyi Yale mapunjo yenu muwe mnalipwa kwa wakati .
 
Jamaa ana Superiority complexity kubwa mno!! Hajajua hata nililozungumzia.
 
Ulisha waona walimu ni omba omba mtaani? mbona wanaishi kama hao wanaopokea mamilioni?

Hawaombi ila naona wanaonewa hasa madai yao ambayo ni malimbikizo ya miaka mingi na wao ni kama hawachukui hatua zozote kuishinikiza selikali iwalipe.
 
Tukianza jadili vipato vyetu utaona nakutamanisha maisha mkuu. Hoja yangu ilijikita kwenye ari yao ya kudai madai yao! Hivi unafahamu madai katika malimbikizo ya walimu yameanza mwaka gani? Unafahamu mpaka sasa wastaafu wangapi hawajalipwa stahili zao? Nasisitiza,usitake tuingie kwenye kujadili vipato!!

kwa kujitetea huku, am more than sure umejiajir. Na elimu yako kama umesoma saaana bas form four. Nan kakwambia wastaafu wanalipwa na serkal stahk zao??? Inadepend na mfuko huska alo chagua mwajiriwa. Nimetaja makusud mshahara wangu since topic umeandka juu ya kupanda kwa mshahara, otherwse tym z money since kaz hainiban naweza udouble hata mara tatu through shughul zangu bnafsi. Wats importan ni security, kiafya, kijamii na hata dhamana ya kuendesha shughul bila stress. Kitu ambacho ww huna, ukiugua miezi 6 familia inahaaa! I love ma job, nmesomea kwakupenda.
 
We wakuja kweli hivi unaakili timamu kujivunia kamshahara ka laki tano!! Unahoji elimu yangu hivi hujui kuwa ualimu ni kazi rahisi na yenye kuhitaji pass mark za chini sana!! Hivi kwa akili yako tunaposema malimbikizo ya waalimu ambayo walimu wanaidai selikali miaka nenda rudi wewe unaelewa nini?
Wenzio wanapodai mazingira mazuri ya kufundishia na motisha kwako wewe ni nini?
Bado nasisitiza usitake kujua kipato changu na kazi zangu.
 
Unasema mimi ni form four,wewe una ngazi gani ya elimu? Selikali ilikosea sana kuufanya ualimu kama kazi rahisi,ona sasa upuuzi wa walimu wa Mulugo!! Kama nchi tunaelekea pabaya sana!!
 
We wakuja kweli hivi unaakili timamu kujivunia kamshahara ka laki tano!! Unahoji elimu yangu hivi hujui kuwa ualimu ni kazi rahisi na yenye kuhitaji pass mark za chini sana!! Hivi kwa akili yako tunaposema malimbikizo ya waalimu ambayo walimu wanaidai selikali miaka nenda rudi wewe unaelewa nini?
Wenzio wanapodai mazingira mazuri ya kufundishia na motisha kwako wewe ni nini?
Bado nasisitiza usitake kujua kipato changu na kazi zangu.

Hivi kumbe passmark za ualimu ziko chini? Wa sekondary au wa msing? Hv vigezo vya nursing na kusomea ualimu vipi viko chini?Naomba kujua mana mm mgeni taaluma hizo
 
Back
Top Bottom