Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kwahiyo wewe unaweza kumkataa Baba ako kisa ameamua ndani ya nyumba mle Ugali tembele au ugali maharage ili hela ambayo angewanunulia nyama ya Kuku au ng'ombe ameamua kuwajengea nyumba nzuri ya tofali na bati ili muachane na nyumba ya udongo na manyasi...?
 
Wafanyakazi ambao wanaweza kumchagua Magufuli ni wa TRA tu ambao walipandishiwa mishahara zaidi ya 300% mwaka jana.

Mtu alikua analipwa laki 8 leo analipwa 3.6m, mtu alikua analipwa milioni 4 leo analipwa milioni 10.
 
Uongozi huu umezidi dharau na kutowajali wafanyakazi.
 
Yaani TL tusimpe kura kabisa, kwanza anadharau hadi wimbo wa taifa, anabweka tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…