Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Jamani hebu tumwache Rais wetu akamilishe kwanza hiyo miradi ya kimkakati. Hivi akiamua kuwapandisha madaraja si na mishahara itapanda? Sasa atatoa wapi pesa yote hiyo? Mimj nasema hivi Mi-7 tenaaaaa, mzee baba piga kazi usiwasikilize hawa waliyataka wenyewe! Hongera sana Mh. Ka John
By Mimi
Manjagata 07811 625 768
 
Wapo waliopandishwa vyeo 2015 baadhi wamestaafu bila ya kupewa mapunjo Hadi leo
 
Wapo waliopandishwa vyeo 2015 baadhi wamestaafu bila ya kupewa mapunjo Hadi leo
Yaani mkuu kama Ukitaka kuishi ki ujanja janja lazima uumie maana mianya yote ya wapiga dili imeziba kabisa
Wewe Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
 
Back
Top Bottom