Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Hawa ndio aina ya watu waliomzunguka rais wanamshauri, kwa mtindo huu watanzania wana safari ndefu, hivi ni kitu gani kimeshuka bei Tz?

Ndg peleka ushauri wako kwa familia yako! Muache mwalimu atoe ya moyoni kama hajalipwa unataka aje kusifia hapa ujinga’Gademitti
Mkuu nchi hii Ina wataalamu na wasomi waliobobea katika kila nyanja Ndio maana Watanzania kwa sasa tunamaisha bora kuliko wakati wowote kuanzia Wafanyabiashara. Wafanyakazi hata Wakulima maisha bora kabisa
Kweli nchi yetu iligeuzwa shamba la Bibi na wachache walikua wanafaidi wengi tulikua hoi
 
Ukiwa kula kulala au unalelewa na shemeji,huwezi juona ugumu wa maisha,waulize wanaokuhudumia na kukutunza watakuambia,
Wewe hujui hata bei ya kilo ya sukari au sembe.
Mkuu mie nipo hapa Ruvu ninalima mboga na mahindi ya kuchoma kila mara magari yanakuja kuchukua bidhaa Nalipa kodi na ushuru kihalali Naishi kama sultani
Poleni wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba
 
Kwa watanzani wote ,naomba niwe wa mwisho kuamini komenti yako.
Pia wakati nalizimishwa kuamini, SMG na Bomu viwe pembeni kwa ajili ya kunishughulikia akati naendelea kupinga komenti yako.
Ukweli mchungu nyie wapiga dili poleni lazima mumchukie maana ameziba mianya na mtaumia mpaka mkubali kuacha maisha ya ujanja janja
 
Kweli mtumishi hua anakatwa kodi
Lakini Tatizo waalimu na watumishi mbali mbali walikua wamezoea kuishi kiujanja
Sasa hii serikali makini inayoongozwa na Rais mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA Ndio ngumu kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu mpaka wajirekebishe hakuna jinsi
Simba zee una zeeka vibaya ,vitu ambavyo viko kikatiba,na unapojaza mkatataba viko wazi kabisa.Una kaa unasema wamezoea kuishi kiujanja ,ivi kuishi kiujanja ndo kuishi gani?.Unamihemko ya kuchanganganyikiwa na maisha ,acha watu wapambanie haki zao
 
Yaani nchi hii kwa sasa tangu ipate Rais mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake mambo ni swafi sana Watanzania tunaishi kama masultani
Tatizo lipo kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu mpaka wajirekebishe mianya ya ujanja janja imeziba kabisa
 
Yaani kukuelewa kazi Sana ,sijui una umri gani?.mwalimu anapiga dili kivipi?Miaka ya nyuma izo stahiki hazikuwepo?.Moyo wa huruma kwa raia wake,uyo mwalimu anedai sio raia?.
Ebu punguza shobo za kishamba bro ,ayo mahaba ukiyapeleka kwa familia yako itakuwa afadhari sana
 
Ukweli mchungu nyie wapiga dili poleni lazima mumchukie maana ameziba mianya na mtaumia mpaka mkubali kuacha maisha ya ujanja janja
Ameziba mianya yako.
Yeye mwenyewe (Magufuli) ni mjanja mjanja ktk suala zima la upigaji. Kakuacha njiapanda mwanalumumba hata usijue cha kufanya alafu yeye mwenyewe akizidi kupiga dili za matrilioni. Unabisha?
 
Kama Rais wetu angekua ana dosari dunia ingesema
Mbona kila kukicha anatunukiwa nishani za Hali ya juu?
Kama angekua mpigaji tungepata wapi maendeleo?
Huyu ni rais imara mwenye roho ya huruma na upendo kwa RAIA wake Ndio maana unaona jinsi watanzania tunavyofaidi
Raha tupu kuanzia Wafanyakazi . Wafanyabiashara hadi Wakulima
shule bure
Huduma za afya bure
Miundo mbinu kila pahala
Umeme kila kijiji
Midege Chungu nzima
Reli ya kisasa
Hadi raha
Wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisa
 
Yaani kukuelewa kazi Sana ,sijui una umri gani?.mwalimu anapiga dili kivipi?Miaka ya nyuma izo stahiki hazikuwepo?.Moyo wa huruma kwa raia wake,uyo mwalimu anedai sio raia?.
Ebu punguza shobo za kishamba bro ,ayo mahaba ukiyapeleka kwa familia yako itakuwa afadhari sana
Mkuu waalimu na watumishi wa serikali kwa ujumla waache kuishi kwa mazoea lazima wafuate sheria za nchi bila shuruti na walipe kodi la sivyo wataendelea kuumia tu maana mianya ya madili imeziba kabisa
 
Mwalimu yupi halipi Kodi au mtumishi wa serikali?,hata ujui kuwa Kodi za watumishi zinakatwa automatically kwenye mshahara.Siasa unaonekana huijui,impacts za kutokupandishwa vyeo huzijui ,ila wastaafu watakusaidia kujua.Vilevile usiwe mlevi wa nyimbo za mapambio hata kwenye dhuruma.Huyo rais kwenye mazuri mbona tunamsifia,kwa iyo ulitaka akiharibu napo tumpe pongezi?.Busara ya mtu mzima ni kuchambua mambo kwa kina ,sio shobo za kijinga na mapambio yasio na tija.
 
Mkiu

lazima tujue hii nchi inaendeshwa na mtu muadilifu anaepata ushauri kutoka kwa wataalamu waliobobea na wasomi mahiri sana
Swala la eti kuongeza mshahara wakati serikali inadhibiti mfumuko wa bei Haiwezekani kwa sasa pesa yetu inathamini sana na maisha yapo chini mnoo
Kila bidhaa imeshuka bei kabisa
Kweli tuwe wakweli nchini kwetu afadhali mishahara ishushwe sio kuongezwa
Tena ujue mimi na wewe hatuna hadhi ya kumshauri Rais maana anae Washauri wazuri na wataalamu kweli kweli
 
Wewe ni mpumbavuuu usie jielewa,yaani raisi wako unamuona kama Mungu asie weza kukosea na kushauriwa.Wewe mwananchi una haki ya kumkosoa raisi sio kumsifia kila kitu .Unasema vitu vineshuka bei unajua sukari ni sh ngapi,mfuko wa simenti sh mgapi ,bati sh ngapi ,mafuta ya kula sh ngapi lita? Unaropoka tu hujui unalo liongea.
 
Mkuu Sijasema Rais ni Mungu Bali nimesema Sisi raia wa kawaida hatuna hadhi ya kumshauri Rais kwa sababu yeye ni muadilifu na Ana Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake vile vile kuna wataalamu ambao ni wasomi waliobobea Ndio wanamshauri tena kwa hekima
Hivyo vitu hata kama vimepanda bei lakini ni kidogo mnoo Ndio maana Watanzania 84%tunataka katiba ibadilishwe ili Rais wetu atawale milele kama hataki tutaandamana kushinikiza
 
Mkiu

lazima tujue hii nchi inaendeshwa na mtu muadilifu anaepata ushauri kutoka kwa wataalamu waliobobea na wasomi mahiri sana
Swala la eti kuongeza mshahara wakati serikali inadhibiti mfumuko wa bei Haiwezekani kwa sasa pesa yetu inathamini sana na maisha yapo chini mnoo
Kila bidhaa imeshuka bei kabisa
Kweli tuwe wakweli nchini kwetu afadhali mishahara ishushwe sio kuongezwa
Tena ujue mimi na wewe hatuna hadhi ya kumshauri Rais maana anae Washauri wazuri na wataalamu kweli kweli
Nchi hii Kuna watu wapumbavu sijawahi kuona,familia yako ina hasara kupata kiongozi wa familia usie jitambua Kama wewe.
 
Mkuu ukweli utabaki pale pale
Tiini sheria bila shuruti
Lipeni kodi
Mtaishi kama masultani
Lakini ujanja janja mbele kiza
Poleni wapiga dili lazima muumie maana mianya imeziba kabisa
 
Habarini Wadau,

Ninaomba kuuliza lakini pia kupatiwa msaada katika jambo hili.

Mwaka Jana mwezi wa 5, watumishi wengi wenye sifa walipandishwa madaraja. Lakini cha kushangaza katika mabadiliko ya mishahara ni kama kuna ubaguzi kwa watumishi.

Kwa Mkoa wa Kilimanjaro kuna ambao wamebadilishiwa mishahara na wengine wenye barua kabisa za kupanda daraja mishahara yao haijabadilika.

Mimi nina miaka 7 tangu kuajiriwa, huu ni wa 8. Nilipoajiriwa baada ya miaka miwili nikapata ruhusa rasmi ya kwenda masomoni, nikarudi kazini tangu 2017 na kufanya kazi kwa miaka miwili na huu wa 2020 ni wa tatu.

Nimepata barua ya kupandishwa daraja mwaka jana lakini leo Afisa Utumishi wilaya ananiambia kuwa sina sifa ya kubadilishiwa mshahara hata kama barua imekuja.

SABABU: Afisa Utumishi anasema kuwa kuna Mwongozo umekuja ambao hautambui ule muda wa mtumishi kuwa masomoni kuwa upo ndani ya Utumishi hata kama alienda kwa barua rasmi bila kutoroka.

SWALI: NI KWELI HUO MWONGOZO UPO? JE, NI RASMI ?

Au upo kwa Mkoa wa Kilimanjaro tu?

Naombeni Msaada wenu.

=======
Soma pia:

1) Je, watumishi wa umma watarajie nyongeza ya mishahara 2019/2020? - JamiiForums

2) Serikali: Mishahara minono yaja kwa watumishi wa umma - JamiiForums

3) Mwaka wa 4 watumishi wa umma bila nyongeza ya mshahara - JamiiForums

4) Kama Serikali itashindwa kuwaongezea mishahara watumishi wa umma 2020 vyama vya wafanyakazi vifutwe - JamiiForums

5) Maadhimisho ya Siku ya Sheria: Rais Magufuli adai hata yeye mshahara haumtoshi, awaasa wapelelezi kuharakisha upelelezi - JamiiForums

6) Mei Mosi 2019: MEI MOSI 2019: Rais Magufuli asisitiza kuwa ataongeza mishahara akikaribia kuondoka madarakani. Awataka wafanyakazi kuwa na subira - JamiiForums
bora nyinyi barua mmepewa si wengine April 1 tunafikisha miaka 7 tangu tuajiriwe na hamna hata hiyo barua ya kuzugia we komaa tu hamna cha maana hapo
 
Mkuu Ukitaka kufaidi nchi hii lazima utii sheria bila shuruti na ulipe kodi
Ila ukisema uishi ki ujanja janja lazima uumie
Nchi hii inaongozwa na Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Tatizo nyie wapiga dili poleni lazima mumchukie maana ameziba mianya kabisa na kweli mnaumia sana
 
Kweli mtumishi hua anakatwa kodi
Lakini Tatizo waalimu na watumishi mbali mbali walikua wamezoea kuishi kiujanja
Sasa hii serikali makini inayoongozwa na Rais mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA Ndio ngumu kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu mpaka wajirekebishe hakuna jinsi
TOA mfano wa huo ujanjaujanja, otherwise blaablaa.
 
Back
Top Bottom