Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Wakati wetu wafanyakazi kulinga ndio huu sasa. Kweli kutesa kwa zamu. Dharau, kiburi na ujeuri wa Jiwe sasa basi. Katunyanyasa sana Jiwe. Kajiona yeye ni mungu mtu ndani ya miaka 5.
1. Hakuna ongezeko la mishahara.
2. Hakuna kupanda madaraja.
3. Wazee wetu wamestahafu, lakini Jiwe hataki kuwapa pension yao.

Tulikupenda Jiwe, ila kiburi kimekupenda zaidi. Kwaheri jiwe, nenda jiwe, wasalimie Chato
 
Tukiachana na nyongeza za mshahara, hata ningepunguziwa mshahara, kamwe, kamwe nisingeweza kumsaliti JPM. Kwa kutompa kura yangu JPM, nahisi ningepata laana kwa sababu aliyoyafanya yana manufaa zaidi kuliko hata nyongeza ya mshahara.
JPM ameokoa roho za watu wengi sana waliokuwa wanafariki kwa ajali kutokana na ubovu wa barabara, vifo kutokana na uhaba wa hospitali.
Lakini pia kwa kiasi kikubwa ameweza kukomesha mambo ya ujambazi nk.
Kwa kazi hizo za kutukuka alizozifanya, anastahili kupigiwa kura nyingi kabisa, na kwa hakika itakuwa hivyo.
 
Kikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.

Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.

Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.

Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.

Agenda.

1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.

2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa Umma.

3. Mengineyo.

Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.

View attachment 1530815
Tutamnyosha mwaka huu huyu mkoloni mweuzi magu
 
Hakuna mfanyakazi wa serikali mwenye akili timamu atipigia kura CCM Japo CCM hategemei sana kupigiwa kura maana itashinda tu
 
Mimi ni Mwana CCM damu damuni, naipenda sana Serikali yangu, ila tukio la Lissu kupigwa Risasi lilinihuzunisha sana, sasa bwana Kipindi kile sikuwa na chochote cha kumchangia kwa kuwa nilikuwa namuuguza mke wangu, sasa mwak huu mchango wangu kwake ni KURA yangu kama pole yangu kwake kwakuwa bado hata pesa ya kumpa sijaipata

Mdau JF toka Kariakoo sokoni
 
Eti Tanzania iwe kama ulaya.. nani alikwambia maisha ya ulaya ni bora kuliko maisha yetu..

Tena africa tinaishi maisha marefu zaidi
Mko laki tano tu,Hamna impact yoyote. Ni JPM tu hadi 2025
 
Tusimpe kura wala sapoti yoyote kwanza ni mwizi tangu nyumba za serikali hadi SGR. Aibe tu akitaka ila hana baraka zetu.
Pia ni muhimu kuanza kufikiria kudai haki zetu kisheria mfano Mimi nnaanza kuishtaki taasisi yangu kuninyima haki yangu kwa miaka mitano.
 
Kikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.

Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.

Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.

Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.

Agenda.

1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.

2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa Umma.

3. Mengineyo.

Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.

View attachment 1530815
Msimamo wetu Sisi Wafanyakazi wa Uma unajulikana wazi hata bila ya hiki kikao Ndugu Mjumbe. Story za eti akupigae shavu la Kushoto sijui mgeuzie na la kulia zilishapitwa na wakati, ni Uzwazwa huo.

Kama sisi sio wa kwake yeye basi hata yeye sio wa kwetu pia. Haikuwezekana sisi kula vizuri miaka hii mitano Basi iwe inatosha, tutanye tu ilikua bahati mbaya 2015.

Kutenda kosa kunasemeheka, ila kurudia kosa hakusameheki. Tarehe 28/10 saa mbili asubuhi fasta na kichinjio changu
 
Mimi Kama mojawapo wa wahanga wa wanaoidai serikali mapunjo kutokana na kupandishwa madaraja 2015 na 2016 bado hatujapewa mapunjo yetu.

Tulijaza claim forms na kuthibitisha Mara 3 kwa kupeleka vielelezo vilivyotakiwa pamoja na kuweka saini kuwa tulichokiandika ndicho, lakini Hadi Sasa hakuna kilichotekelezwa.

Awali baada ya serikali ya awamu ya 5 kuingia madarakani zoezi ilisitishwa ili kupisha uhakiki uliofanyika karibu Mara 2 lakini baada ya hapo kimyaa Hadi leo.

Kifupi Ni kuwa walimu wengi waliokuwa kwenye list ya kupandishwa vyeo waligota takribani miaka 10 Hadi 15 wengine bila ya kupewa promotion. Cha ajabu wapo waliositishiwa promotion kwa kunyang'anywa bila sababu.

Yaani umerekebishiwa mshahara halafu mwezi mwingine unaofuata mshahara huo unaondolewa bila kupewa sababu na hapo ushajaza claim form ya mapunjo na kuthibitishwa na afisa utumishi.

Tatizo bado haijulikani na ofisi ya mkurugenzi kwa maana ya maafisa utumishi hawatoi majibu sahihi.

Post au Uzi huu Ni kuwa bado mapunjo hayajatolewa na baadhi au tuseme wengi washastaafu na wako nyumbani.

Ukifuatilia unaambiwa fungu hakuna. Sasa ndio tuseme hii serikali ya awamu ya 5 haisikii au inanyamazia masuala nyeti ya wanyonge? Hawa waliostaafu na kuacha mapunjo Yao wamdai Nani?

Nadhani wahusika wapo na Kama tuliwapa kura ili kuuendeleza mateso, Mungu anawaona
 
Tatizo la watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea na nchi hii tuliigeuza shamba la Bibi

Angalia huyu Mwalimu anazungumzia Habari za 2015

Mwalimu Ukitaka kuishi vizuri lazima ujifunze kutii sheria na kulipa kodi

Hii serikali makini sana nyie waalimu wajanja wajanja na wapiga dili wenzenu lazima muumie
 
Mi CCM bwana[emoji79]
Hata hivo walimu acha muumie na bado, mnayoyafanyaga nyakati za uchaguzi ipo siku.
 
Tatizo la watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea na nchi hii tuliigeuza shamba la Bibi
Angalia huyu Mwalimu anazungumzia Habari za 2015
Mwalimu Ukitaka kuishi vizuri lazima ujifunze kutii sheria na kulipa kodi
Hii serikali makini sana nyie waalimu wajanja wajanja na wapiga dili wenzenu lazima muumie
Una uhakika huyu mwalimu halipi kodi mkuu?

Sasa ujanja ujanja wake huyu mwalimu uko wapi hapo, anakwambia kawasilisha vielelezo vyote zaidi ya mara mbili au tatu na amesainiwa

Kuna mahali huyu mwalimu hajatii sheria mkuu?

Katika haki yake ya kupandishwa daraja na kupata stahiki zake imekuwaje umeona anapiga dili?

MKUU NGOJA NIKUSHAURI KITU, PAMOJA NA MAHABA NA MAPENZI KWA SEREKALI YETU NA RAIS WETU HEBU JARIBU KUWA UNASOMAGA UZI NA KUELEWA VIZURI. JARIBU SANA KUACHA WENGE LA KUKIMBILIA KUTETEA KILA KITU BILA HATA KUJIRUHUSU KUFIKIRIA. SIO KILA SAA UNAWAZA LIGI ZA CHADEMA NA CCM TU. KUNA KIPINDI KAMA TAIFA NI LAZIMA KUANGALIA USTAWI WA TAIFA NA WANANCHI WAKE.
 
Mkuu unaposema ustawi wa nchi haina maana kila kukicha basi wafanyakazi waongezewe mishahara na kupandishwa madaraja

Mkuu hii nchi imepata kiongozi mwema na mwenye roho ya upendo na huruma kwa wananchi wake

Mkuu hii nchi inayo wataalamu na wasomi waliobobea katika kila nyanja

Tatizo kama nilivyo sema tulizoea kuishi kiujanja janja Ndio maana wapiga dili wengi wapo hoi

Ukichunguza huyo Mwalimu anayo agenda iliojificha Ndio maana anashindwa kuweka mambo sawa

Nchi hii haina haja ya kuongeza mshahara maana imedhibiti mfumuko wa bei kabisa

Kila kitu kimeshuka bei na pesa imepanda thamani

Hivi kila mtu akitaka aongezewe Mshauri na marupu rupu tutaweza kujenga miradi hii yote ya kimkakati?
 
Back
Top Bottom