Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Kutetea wanyonge ni pamoja na huyu mwalimu unaposema ana agenda iliyojificha ulitakiwa ufafanue.

Ila yeye kaweka wazi hoja tusiongee tu ili kutafuta sifa jaribu kugeuza shilingi upande wa pili ingekuwa wewe je?
Mkuu unaposema ustawi wa nchi haina maana kila kukicha basi wafanyakazi waongezewe mishahara na kupandishwa madaraja
Mkuu hii nchi imepata kiongozi mwema na mwenye roho ya upendo na huruma kwa wananchi wake
Mkuu hii nchi inayo wataalamu na wasomi waliobobea katika kila nyanja
Tatizo kama nilivyo sema tulizoea kuishi kiujanja janja Ndio maana wapiga dili wengi wapo hoi
Ukichunguza huyo Mwalimu anayo agenda iliojificha Ndio maana anashindwa kuweka mambo sawa
Nchi hii haina haja ya kuongeza mshahara maana imedhibiti mfumuko wa bei kabisa
Kila kitu kimeshuka bei na pesa imepanda thamani
Hivi kila mtu akitaka aongezewe Mshauri na marupu rupu tutaweza kujenga miradi hii yote ya kimkakati?
 
Na bila shaka wewe mtoa hoja pia ulishiriki kuhesabu kura za wizi, tulia na kuwa mpole 5 mingine.
 
Kutetea wanyonge ni pamoja na huyu mwalimu unaposema ana agenda iliyojificha ulitakiwa ufafanue.
Ila yeye kaweka wazi hoja tusiongee tu ili kutafuta sifa jaribu kugeuza shilingi upande wa pili ingekuwa wewe je?
Kwa sababu mimi ni mzalendo na Nina imani na serikali pamoja na Rais ningekua Mwalimu ningetii na kuheshimu serikali bila shuruti.

Tatizo wafanyakazi wengi wanataka kubenbekezwa nchi hii sio tena ya lele mama.
 
Mlijua wataisoma namba chadema na lissu ndugu mwalimu?

KULA TANO TENA
 
Mkuu hii nchi imepata kiongozi mwema na mwenye roho ya upendo na huruma kwa wananchi wake
?
Kwa watanzani wote ,naomba niwe wa mwisho kuamini komenti yako.
Pia wakati nalizimishwa kuamini, SMG na Bomu viwe pembeni kwa ajili ya kunishughulikia akati naendelea kupinga komenti yako.
 
Kwa sababu mimi ni mzalendo na Nina imani na serikali pamoja na Rais ningekua Mwalimu ningetii na kuheshimu serikali bila shuruti
Tatizo wafanyakazi wengi wanataka kubenbekezwa nchi hii sio tena ya lele mama
Ukiwa kula kulala au unalelewa na shemeji,huwezi juona ugumu wa maisha,waulize wanaokuhudumia na kukutunza watakuambia,
Wewe hujui hata bei ya kilo ya sukari au sembe.
 
Tatizo la watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea na nchi hii tuliigeuza shamba la Bibi
Angalia huyu Mwalimu anazungumzia Habari za 2015
Mwalimu Ukitaka kuishi vizuri lazima ujifunze kutii sheria na kulipa kodi
Hii serikali makini sana nyie waalimu wajanja wajanja na wapiga dili wenzenu lazima muumie
Kaz ya shimha hiyo
 
Serikali Sikivu Ya Ccm Inayafanyizia Kazi Yote Hayo
Tuiunge Mkono Tuchape Kazi
 
Mkuu unaposema ustawi wa nchi haina maana kila kukicha basi wafanyakazi waongezewe mishahara na kupandishwa madaraja
Mkuu hii nchi imepata kiongozi mwema na mwenye roho ya upendo na huruma kwa wananchi wake
Mkuu hii nchi inayo wataalamu na wasomi waliobobea katika kila nyanja
Tatizo kama nilivyo sema tulizoea kuishi kiujanja janja Ndio maana wapiga dili wengi wapo hoi
Ukichunguza huyo Mwalimu anayo agenda iliojificha Ndio maana anashindwa kuweka mambo sawa
Nchi hii haina haja ya kuongeza mshahara maana imedhibiti mfumuko wa bei kabisa
Kila kitu kimeshuka bei na pesa imepanda thamani
Hivi kila mtu akitaka aongezewe Mshauri na marupu rupu tutaweza kujenga miradi hii yote ya kimkakati?

Hawa ndio aina ya watu waliomzunguka rais wanamshauri, kwa mtindo huu watanzania wana safari ndefu, hivi ni kitu gani kimeshuka bei Tz?

Ndg peleka ushauri wako kwa familia yako! Muache mwalimu atoe ya moyoni kama hajalipwa unataka aje kusifia hapa ujinga’Gademitti
 
Tatizo la watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea na nchi hii tuliigeuza shamba la Bibi
Angalia huyu Mwalimu anazungumzia Habari za 2015
Mwalimu Ukitaka kuishi vizuri lazima ujifunze kutii sheria na kulipa kodi
Hii serikali makini sana nyie waalimu wajanja wajanja na wapiga dili wenzenu lazima muumie
Kazi ya msingi imekamilika,Subira ya vita kheri, ni swala la muda hilo litatekelezeka msiwe na wasiwasi.
 
Mimi Kama mojawapo wa wahanga wa wanaoidai serikali mapunjo kutokana na kupandishwa madaraja 2015 na 2016 bado hatujapewa mapunjo yetu.

Tulijaza claim forms na kuthibitisha Mara 3 kwa kupeleka vielelezo vilivyotakiwa pamoja na kuweka saini kuwa tulichokiandika ndicho, lakini Hadi Sasa hakuna kilichotekelezwa.

Awali baada ya serikali ya awamu ya 5 kuingia madarakani zoezi ilisitishwa ili kupisha uhakiki uliofanyika karibu Mara 2 lakini baada ya hapo kimyaa Hadi leo.

Kifupi Ni kuwa walimu wengi waliokuwa kwenye list ya kupandishwa vyeo waligota takribani miaka 10 Hadi 15 wengine bila ya kupewa promotion. Cha ajabu wapo waliositishiwa promotion kwa kunyang'anywa bila sababu.

Yaani umerekebishiwa mshahara halafu mwezi mwingine unaofuata mshahara huo unaondolewa bila kupewa sababu na hapo ushajaza claim form ya mapunjo na kuthibitishwa na afisa utumishi.

Tatizo bado haijulikani na ofisi ya mkurugenzi kwa maana ya maafisa utumishi hawatoi majibu sahihi.

Post au Uzi huu Ni kuwa bado mapunjo hayajatolewa na baadhi au tuseme wengi washastaafu na wako nyumbani.

Ukifuatilia unaambiwa fungu hakuna. Sasa ndio tuseme hii serikali ya awamu ya 5 haisikii au inanyamazia masuala nyeti ya wanyonge? Hawa waliostaafu na kuacha mapunjo Yao wamdai Nani?

Nadhani wahusika wapo na Kama tuliwapa kura ili kuuendeleza mateso, Mungu anawaona
As were...
 
Tatizo la watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea na nchi hii tuliigeuza shamba la Bibi
Angalia huyu Mwalimu anazungumzia Habari za 2015
Mwalimu Ukitaka kuishi vizuri lazima ujifunze kutii sheria na kulipa kodi
Hii serikali makini sana nyie waalimu wajanja wajanja na wapiga dili wenzenu lazima muumie
Ila mshkaji unakera kishenzi. Yaani imebidi nicheke tu 😂😂😂😂😂
 
Mtaikumbushia hiyo wakati wa Kampeni za 2025! Laptop zenyewe mlizoahidiwa wakati wa Kampeni za 2015 mlishapewa?
 
..Yani nyie waalim hata msipoliowa Maisha ni Sawa Tu...naomba serikali isiwalipe kabisa maslahi yenu ili mpate akili...Yani chokeni Hadi mkome..
 
Tatizo la watanzania tulikua tunaishi kwa mazoea na nchi hii tuliigeuza shamba la Bibi

Angalia huyu Mwalimu anazungumzia Habari za 2015

Mwalimu Ukitaka kuishi vizuri lazima ujifunze kutii sheria na kulipa kodi

Hii serikali makini sana nyie waalimu wajanja wajanja na wapiga dili wenzenu lazima muumie
Una akili timamu kweli?Unajua maana ya kupanda daraja?Kuna uhusiano gani na kutolipa kodi kwa mtumishi husika?Hujui kuwa mtumishi hulipa kodi automatically kila mwezi?
 
Ukiwa kula kulala au unalelewa na shemeji,huwezi juona ugumu wa maisha,waulize wanaokuhudumia na kukutunza watakuambia,
Wewe hujui hata bei ya kilo ya sukari au sembe.
Achana naye huyo jamaa,ni mjinga sana.Hawa ndio std 7 wanaotuvurugia JF.
 
Una akili timamu kweli?Unajua maana ya kupanda daraja?Kuna uhusiano gani na kutolipa kodi kwa mtumishi husika?Hujui kuwa mtumishi hulipa kodi automatically kila mwezi?
Kweli mtumishi hua anakatwa kodi
Lakini Tatizo waalimu na watumishi mbali mbali walikua wamezoea kuishi kiujanja
Sasa hii serikali makini inayoongozwa na Rais mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA Ndio ngumu kwa wapiga dili Yaani lazima waumie tu mpaka wajirekebishe hakuna jinsi
 
Back
Top Bottom