Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Baba ako wewe.. usilete imani za kishirikina hapa..

Wote tuna haki ya kupata maidha yetu kulingana na sheria ya utumishi
 
Hamna kitu kibaya kama kuminya maslahi ya watumishi wa umma, kuwatisha, harafu unatangaza umeongeza nidhamu ya watumishi. Ni nidhamu ya woga.

Huyu jamaa amewatesa wafanyakazi hasa wa sekta binafsi kwa kuondoa fao la kujitoa. Hiki ni kitanzi kwa wafanyakazi wenye mikataba isiyo na uhakika. Yaani mtu afukuzwe kazi leo akiwa na miaka 20, asubiri mafao yake akifika miaka 55. Huu ni uonevu ambao inatakiwa kushughulikiwa..
 
ha ha ha ha... bavicha mna matatizo sana. Anaandika mmoja alaf mnaanza kukomenti wenyewe..

Ni kweli hatujapanda madaraja,
ni kweli mishahara haijapanda,

lakini pesa ambayo tungeongezewa tunaona inavyotumika kwa mambo ya msingi kabisa kwa maendeleo endelevu ya inch yetu.

Nyie endeleeni kujidanganya.. hakuna mtu wa kumzidi magu.
 
Watu kama nyinyi ndiyo mnaosababisha matatizo kwa kutegemea posho za usimamizi wa uchaguzi.
 
Mbona wao wana nunua kuku wa laki moja wakati sisi hadi pesa ya chumvi hatuna.[emoji111][emoji1]
Wanatudharau sana.utasikia tunatukanwa mbele ya wake zetu kuwa sisi ni majizi na mafisadi huku uhalisia wao ndio wanafuja pesa za walipa kodi wa nchi hii.
 
Cha ajabu yeye anatembea na maburungutu ya mil 5 kwenye ziara zake kuhonga wananchi wamchague
 
Kweli mhamasishane. Leo nimekutana na dada mmoja ni RN.Yaani Nurse aliyesajiliwa. Before that alikuwa NA akaenda kusoma diploma. Tangia miaka mitatu sasa ni RN ila bado analipwa mshahara wa NA.Leo nikamuambia mpigie Lissu Kura.Magufuli anatesa sana wafanyakazi wa umma watu wanakwenda kusoma wanamaliza wanatuma barua wizarani,vyeti vyao vya upgrade. Ila bado wanalipwa mishahara ya grade zao za zamani. Yaani mkimpa kura Magufuli mtakuwa hamjielewi.
 
Kabisa.. mfanyakazi atakaye mpigia kura Magufuli hana maana kabisa.. na hafai hata kwa utumishi
 
Enzi za kikwete kila mwaka mishahara iliongezwa ila huyo mtu wenu miaka mi5 neiiiii na akasema kabisa haongezi hata kumi wakati anazindua daraja la salenda(jipya) aka Tanzanite bridge.
 
Hilo mbona halina mjadala????!!!!!
 
Nina mchepuko wangu ni nesi aliesajiliwa na ni mkunga pia. Tangu aanze kazi ana miaka 10 sasa. Mshahara ni ulele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…