Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

Mwanamalundi kigagula tu.
#NI YEYE
 
Ajira tunaosota zaidi ya miaka 4 kura zetu zituokoe kwa lisu
 
Na sisi tunapiga hapa hapa.. hata akiiba lakini ajue kuna watu hakuwa tendea vizuri

Familia yangu, wazazi, ndugu na ya wakwe zangu kura kakosa! Nimeharibikiwa na mambo mengi sana mpaka nikajikuta naamua kulima tu!

Watakaotuangusha ni watumishi wa Tume ya uchaguzi, hivi wao wanalipwa milioni kumi kwa mwezi?
 
Mwaka jana madaraja kuna baadhi walipandishwa. Mwaka huu mapendekezo ya wapandishwa yalishafijishwa kwa wahusika, uzembe upo Utumishi. Mkuchika kazeeka sana waweke waziri mwingine mwenye nguvu.
 
Lipo wazi kurudia kosa ni matumizi mabaya ya akili kuchagua mateso yako again 5 yrs,Kama ameshindwa miaka 5 hawezi mitano tena.
 
Zinajenga nchi au zinanunua jogoo kwa laki moja ... Mxieussszzzx

Nlisahau kuwa October raia wote tunakua wajumbe ha ha ha haaaa kisu tu
Unabana matumizi kwa kufuta sherehe muhimu za kumbukukumbu za taifa kwa kizazi hiki,unabana safari za nje zenye tija then unazitumia kununulia wapinzani, kurudia uchaguzi, kumshughulikia mbowe hapa Ni sawa na kutwanga maji
 
Yeyeto aliyeumizwa ni wakati sahihi umefika wa kulipa kisasi kwenye sanduku la kura. Kama ulisomeshwa namba ni wakati wako wa kuwasomesha namba wao. Pigeni kura za hapana kwa wingi ili washindwe jinsi ya kuiba.
Tukikosea again tumekwiishaa watz rangi halisi tumeiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…