mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 402
- 345
Mwanamalundi kigagula tu.ha ha ha ha... bavicha mna matatizo sana. Anaandika mmoja alaf mnaanza kukomenti wenyewe..
Ni kweli hatujapanda madaraja,
ni kweli mishahara haijapanda,
lakini pesa ambayo tungeongezewa tunaona inavyotumika kwa mambo ya msingi kabisa kwa maendeleo endelevu ya inch yetu.
Nyie endeleeni kujidanganya.. hakuna mtu wa kumzidi magu.
#NI YEYE