Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
sisi JUDICIARY tushateta jambo letu, mpira kwenuKikao hiki ni muhimu sana kwa mustakabali wa maisha yetu.
Awamu ya tano imeweka rekodi ya kutunyima kupanda madaraja na mishahara tena kwa dharau.
Kura zeru zinatosha kupeleka ujumbe kwamba sisi pia ni binadamu.
Wao wanapesa hadi za kugawa mitaani, na kununua jogoo kwa laki moja lakini swala la mishahara yetu linaonekana ni la kipuuzi.
Agenda.
1. Wafanyakazi wa umma kwenda kupiga kura.. Hamasa.
2. Kukataa jina la mtu jeuri asiye thamini wafanyakazi wa umma.
3. Mengineyo.
Karibu mwenyekiti na wajumbe kikao kimefunguliwa.
View attachment 1530815
Ameshindwa miaka 5 ataweza 5 tena,Mchagueni tena atawawaboreshea maslahi yenu
Mwaka jana madaraja kuna baadhi walipandishwa. Mwaka huu mapendekezo ya wapandishwa yalishafijishwa kwa wahusika, uzembe upo Utumishi. Mkuchika kazeeka sana waweke waziri mwingine mwenye nguvu.
Picha iliyoniponza hadi nikahojiwa na maafisa usalama na takukuru achilia mbali mabosi wangu. Ilikuwa na caption 'hivi ni wewe? Siamini' kama sikosei.Hiki ndio kiapp[emoji39][emoji1][emoji111]View attachment 1531151
Mkuu uko sahihi. Awamu ya pili anaweza kuvurunda zaidi kwani hahitaji tena kura zetu. Tumwache hapahapa.Lipo wazi kurudia kosa ni matumizi mabaya ya akili kuchagua mateso yako again 5 yrs,Kama ameshindwa miaka 5 hawezi mitano tena.
Tukirudia kosa Tena tumekwiishaaMkuu uko sahihi. Awamu ya pili anaweza kuvurunda zaidi kwani hahitaji tena kura zetu. Tumwache hapahapa.
Ahahahahaha ili tuweke kikao kingine cha kujadili kuachishwa kazi!?Ungeweka na majina yako matatu na ofisi unayofanyia kazi ingependeza zaidi... ili tufanye maamuzi yakinifu
Maslahi kwanza ili kuboresha utendaji wa kazi.Ajenda zake zikoje kuhusu wafanyakazi??
Huwa nachat na jamaa zangu wawili walitia nia kanda ya ziwa, wanasema Lissu ajiandae kuunda serikali ya mseto maana CCM itapata wabunge wengi lakini JPM atakosa ushindi. Hali ya maisha ni ngumu sana, LISU aangalie asifanye makosa ya kudharau hali ya maisha ya watu na kuhangaika na magorofa. Watanzania ni watu sio magorofa....
Ahahahahaha ili tuweke kikao kingine cha kujadili kuachishwa kazi!?