fa fa fa fa amfifiro in gwajima voice
Kumbe tuko wengi wenye stori hizi. Watoto wa chuo wanadeka sana.Story ya Pythagoras inafanana na yangu 100%
Kaluluma utakuwa unakosea kama hujamfungulia Bucha. Au haipendi hiyo biashara?bado mkuu,tupo tunapiga mishe nyingine
Yeah possible demu alikuwa na mshikaji mwingine.Nahisi baada ya kuachika kule ndo akaanza kukutafuta.
๐๐๐Mkuu kumbe wewe ndo ulikuwa unamsumbua,aisee una bahati maana nilipanga kumfanya huyo mtu anaemsumbua bibie ashike adabu