Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo atakuwa msukuma, hawezi kukuelewaMwanaume yupo home,
Mwanamke yupo kazini,
Kwann mwanaume asiwe proud kumpikia mwanamke wake akirudi ale chakula, amuogeshe, amfanyie massage, mengine utaongeza mwenyewe,
We call it love and caring.
Mwanaume unakaaje nyumban mke akiwa anatafuta?huo n uzembe mwngine na ni dalili za kuwa baba goal keeperMwanaume yupo home,
Mwanamke yupo kazini,
Kwann mwanaume asiwe proud kumpikia mwanamke wake akirudi ale chakula, amuogeshe, amfanyie massage, mengine utaongeza mwenyewe,
We call it love and caring.
Kuna kupishana masaa ya kazi,Mwanaume unakaaje nyumban mke akiwa anatafuta?huo n uzembe mwngine na ni dalili za kuwa baba goal keeper
Ila mwanamke hana mamlaka ya kunambia pika nakuja kula,hapa ndo kakosea,cjui kwa jamii nyingine wanawake mmefundwaje ila kwangu hilo halitakaa litokee,labda mwanamkea awe mgonjwa.Lengo lilikuwa kula mkuu, hii ina maana chakula kingekuwa hakijapikwa angepika ili ale.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa anasoma wakati huo, kama alikuwa anaweza kupata mahitaji yake yote kulikuwa na haja gani ya kufanya kazi badala ya ku concetrate kwenye masomo?Mwanaume unakaaje nyumban mke akiwa anatafuta?huo n uzembe mwngine na ni dalili za kuwa baba goal keeper
Wapi mtoa mada amesema aliambiwa pika?Ila mwanamke hana mamlaka ya kunambia pika nakuja kula,hapa ndo kakosea,cjui kwa jamii nyingine wanawake mmefundwaje ila kwangu hilo halitakaa litokee,labda mwanamkea awe mgonjwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Au Mkurya hahaha
Kimaanilishi n kama ameambiwa pika nakuja kula
Bac tuseme n umarioo uliopunguzwa makaliAlikuwa anasoma wakati huo, kama alikuwa anaweza kupata mahitaji yake yote kulikuwa na haja gani ya kufanya kazi badala ya ku concetrate kwenye masomo?
Sent using Jamii Forums mobile app
...Natumaini hapo diet ya nyama kila siku imechangia mno katika ku- simenti haya mahusiano, Mkuu!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wasalaam wakuu,
Leo naomba nishee kisa changu kipindi nikiwa chuo,nilipoingia chuo mwaka wa kwanza nilienda kukaa hostel sasa maisha ya hostel sikuyafurahia,nilikaa semester moja pekee,wakati wa likizo nikawahi kwenda chuo ili nisisumbuke kupata chumba cha kupanga,niliamua kutafuta chumba mwenyewe bila dalali, sasa wakati nazunguka nikakutana na mdada mmoja mwanachuo aliyekuwa anasoma chuo jirani na chuo nilichokuwepo, alikuwa ni pisi flani hivi nzuri,nikawa nimevutiwa nae, kwa hyo nikaomba mawasiliano nikaendelea na mishe zangu, baadae nikamtafuta tukawa na kaukaribu flani ka kirafiki baadae nikatupia swaga mambo yakatiki,sasa kimbembe demu akawa hataki kuja ghetto, ukimuita visingizio kibao, nikaona isiwe tabu, nikapiga kimya.
HUKU NILIKOPANGA SASA
Alihamia dada mmoja anafanya kazi bucha la nyama,kama kawaida mzee nikatest uwezo mambo yakanyooka,ikawa ni mwendo wa kubadili vyumba tu,leo kwake kesho kwangu,baada ya kama miezi miwili yule mdada wa chuo akanitafuta kwenye simu anauliza kwanini simjuliihali kama zamani,nikamwambia tu masomo yamebana.
Siku moja nimekutana nae maeneo ya chuo chao akanirukia akanikumbatia,halafu kawatambulisha marafiki zake eti mi ndo shemela wao.
Akanivuta kando akanambia anataka akapaone getto kwangu,weeeh,nikawaza demu wa buchani akimkuta je? Wakati ananiamini kinyama.nikampiga fix tu kwamba nitampigia jioni ili twende akapaone.
Jioni nikapiga kimya kanitafuta,nikamwambia nimebanwa kidogo. Ikapita kama wiki,wikiendi moja nipo gengeni nanunua mazaga,akanifuma,kaniganda kwamba hata iweje lazima twende nae home, nikaona sio kesi ngoja niende nae tumefika home, nikawa naandaa msosi,mara nasikia "kaluluma hizi nguo za nani?"maana aliona nguo za kike mle ghetto,nikamwambia tu ni za mchumba wangu.
Akasema "kumbe ndo maana ulikuwa hutaki nije huku? "mi nikamwambia " sasa kama ulikuwa hutaki kuja huku ulitegemea mi ningefanyaje?" akanambia sawa ila ujue mi bado nakupenda nikamjibu "mi mwenyewe nakupenda kama rafiki" akajichekeshachekesha pale,msosi ulipoiva wakati tunakula mara kanilisha,mwisho wake tumejikuta tunadendeka,wakati bado mambo hayajafika mbali simu yangu ikaita,kucheki ni yule demu wa buchani anasema yuko njiani anakuja kula,weeeh nilijichomoa kutoka mikononi mwa yule demu nikamwambia ajiweke fresh maana mchumba wangu anakuja.
Baada ya muda akafika yule dem mwingine nikamtambulisha kwa huyu mdada wa chuo kama girlfriend halafu yule mwingine nikamwambia ni rafiki yangu japo alionesha mashaka kidogo tukaungana kwenye msosi baadae nikamsindikiza akaondoka,jioni yake huyu girlfriend wangu alinihoji sana akawa anasema ana mashaka kama huyo alikuwa ni rafiki yangu,nikaongea naye tukayamaliza.
Sasa ikawa nikikutana nae analalamika kwanini sikumvumilia wakati alikuwa ananipima,mi nikamwambia labda haikupangwa niwe na yeye,bora tuendelee kuwa marafiki tu,nashukuru alinielewa na kwa upendo wa huyu dada wa bucha mpaka nikawa siendi likizo yaani ikifika likizo mimi ni wa kubaki maghetoni tu mpaka bi mkubwa akawa ananiuliza mbona umetususa baba,namwambia tu kuna vitu naweka sawa na mpaka sasa ninavyoandika huyo dada wa bucha ni official Mrs. Kaluluma
Watu mna perception za haraka haraka....Natumaini hapo diet ya nyama kila siku imechangia mno katika ku- simenti haya mahusiano, Mkuu!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Pika basi na mimi nije "kula"
Asante..Kwanini umeniita mdogo wako,inamaana wewe una miaka zaidi ya 58 niliyonayo??
Kumbe una miaka 58? Kumradhi we ni mwanangu sio mdogo wanguAsante..Kwanini umeniita mdogo wako,inamaana wewe una miaka zaidi ya 58 niliyonayo??
[emoji23][emoji23][emoji23]..aya bhana,ila nahisi kweli mimi mdogo wako