Kupanga kulivyonikutanisha na huyu mdada

Mwanaume yupo home,
Mwanamke yupo kazini,
Kwann mwanaume asiwe proud kumpikia mwanamke wake akirudi ale chakula, amuogeshe, amfanyie massage, mengine utaongeza mwenyewe,

We call it love and caring.
Mwanaume unakaaje nyumban mke akiwa anatafuta?huo n uzembe mwngine na ni dalili za kuwa baba goal keeper
 
Mwanaume unakaaje nyumban mke akiwa anatafuta?huo n uzembe mwngine na ni dalili za kuwa baba goal keeper
Kuna kupishana masaa ya kazi,
Kupishana mapumziko,

Lol, umekosa mapenzi tangu utotoni maskini unahitaji mtu akuoneshe mapenzi hasaa ili ujifunze.
 
...Natumaini hapo diet ya nyama kila siku imechangia mno katika ku- simenti haya mahusiano, Mkuu!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…