choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Kijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).
Naongezea hapoMtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakua ndio mwisho wako.
Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.
Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.
Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.
Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?
NB: mjini patabaki kuwa mjini tu.
Huwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!Eeh kwa kuzungumza tu fursa huwa nyingi sana fika kijijini sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naongezea hapo
Ukipangiwa kazi vijijini sana basi tegemea kuwa mlevi wa mataputapu na sigara pori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahHuwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Zingekuwa nyingi hivyo wakijijini wangekuwa na maisha mazuriEeh kwa kuzungumza tu fursa huwa nyingi sana fika kijijini sasa
Uhalisia upo lkn sasa uwe na background ya kijijini la sivyo utachemkaKijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).
Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.
Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.
Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.
In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi vijiji vingi vimechangamka.Ni kweli mkuu
Enzi hizo nikiwa bado msaga mashine wa kijiji kule kijijiji kwetu nimewala sana waalimu wapya maana mie ndo nilikuwaga mjanja mjanja ambaye niliwahi kufika Dasilamu[emoji38]
Kuna MPWAPWA pia.Upo sahihi kabisaaa
Wale wa Halmashauri za Wilaya zile ngumuuu kama
1. Ukerewe
2. Momba
3. Mpimbwe
4. Mlele
5. Tanganyika
Watakuelewa vizuri sanaaa. Ukiwa halmashauri hizi Kutoboa ki exporure, academic na financially ni taabu sanaaaaaa.
Raia wa humo huwaza kulima na kufuga tu.
#YNWA
Kuzaliwa na kukulia Dar sio kigezo sana kigezo kuzaliwa Dar na kumiliki mali na kujiajiriHuwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miye nipo Tanganyika na nimetoboaUpo sahihi kabisaaa
Wale wa Halmashauri za Wilaya zile ngumuuu kama
1. Ukerewe
2. Momba
3. Mpimbwe
4. Mlele
5. Tanganyika
Watakuelewa vizuri sanaaa. Ukiwa halmashauri hizi Kutoboa ki exporure, academic na financially ni taabu sanaaaaaa.
Raia wa humo huwaza kulima na kufuga tu.
#YNWA
Unapoomba ajira hauna tofaoti na mfungwa, huwezi chagua pakufanyia kazi, kama alivyo mfungwa hawezi chagua gereza, dawa ni kujiajiri tu utaishi popote unapopataka.Sasa watu wa vijijini wahudumiwe na nani?hakuna anayependa kukaa sitimbi mkuu,ikifika mda unaomba kuhamia town wanakuja intake mpya,huwezi kukaa huko maisha yako yote.Tatizo lenu vijana mnataka mambo makubwa kwa haraka.
Ni rahisi kwa kuzitamka, ila uhalisia sasaKijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).