Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Mnatafuta kazi weeeeeee, mkishapata mnaanza kuzidharau, waachieni wenzenu ambao wanazihitaji, nyie mrudi hospitali za private mjini


Ulitaka wa vijijini watibiwe na nani?
 
😁😁😁Sijamaanisha vimji vidogo!
Lkn sehem nyingi miaka hii pana access ya vitu vingi japo ni vijijini unakuta umeme labda upo mbali kidogo lkn watu wana solar majumbani mwao
Labda hujazunguka hii Tz mkuu, ila kuna vijiji ukifika mpaka unajiuliza hawa watu wanaishije??

Miaka ya karibuni umeme umesambaa sana lakini bado kuna maeneo umeme hamna kabisa hata hiyo sola hamna ni mpaka waende kwenye vimji vidogo ambavyo navyo vinakua na kaumbali kama we ni mgeni.
 
Hiyo ni Tanzania ya 2010s sio 2020s
Mambo yamebadilika tuache kukariri.

Kwa maendeleo ya science na teknolojia Kwa sasa NI maeneo machache Sana tena Sana yenye changamoto hizo,

Uwepo wa simu za kisasa na vyanzo vingi vya umeme imekuwa mkombozi.

Maji ya visima ni Bora Sana hamjajua Tu.

Kuna KIJIJI nilifika nikaambiwa mtandao Una soma E upande wa internet lakini kumbe NI simu zao Tu .. ukiwa na simu yenye uwezo wa 4G Mambo mswano.

Maji nilikuta ni ya kisima lakini ni Safi na yanafaa hata Kwa kunywa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo mwishoni..
 
Kuna jamaa kapangiwa kakuta zahanati ipo kwenye lenta hakuna maji hakuna umeme.

Watu hawana malengo wala hawataki kukomaa, wakienda kule hakuna shughuli, network shida, maeneo mengine hakuna umeme wala tv, wanaishia kuwa waraibu wa ngono na pombe
 
Kwani wanaka kwa miaka mingapi au miezi tu? Wewe unajilinganisha na watu wanao lipwa mshahara na allowance inao zidi kipato chote cha kijiji wewe unaota, kijijini ni nusu jahanamu unaishi kama mnyama wakufuga.
Hahaha! Sawa!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
[emoji28]jmn kama rfk yangu mmoja ivii
 
Yaaan acha tuu namkumbuka dada yangu mwenyewe alikuwaa sista duuu...akaishiaa kuolewaa na mwanakijiji hukoo na ndoto zikaishiaa hapoooo
 
Umesahau hakuna pisi kali
 
Upo sahihi kbsaa dada yangu ndoto imepoteaa na kaolewa kijijini na alikuwaa sista duuu wa kwendaaa kbsaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…