Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna halmashauri inaitwa Rombo.
- Huwezi kulima
- Huwezi kufuga
- Huwezi kufanya biashara
- Huwerzi kujenga, utapanga mpaka siku unastaafu
kudadadeki
Mnatafuta kazi weeeeeee, mkishapata mnaanza kuzidharau, waachieni wenzenu ambao wanazihitaji, nyie mrudi hospitali za private mjiniMtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.
Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.
Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.
Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.
Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?
NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Labda hujazunguka hii Tz mkuu, ila kuna vijiji ukifika mpaka unajiuliza hawa watu wanaishije??😁😁😁Sijamaanisha vimji vidogo!
Lkn sehem nyingi miaka hii pana access ya vitu vingi japo ni vijijini unakuta umeme labda upo mbali kidogo lkn watu wana solar majumbani mwao
Hiyo ni Tanzania ya 2010s sio 2020sHuwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ishu ni kukosekana kwa baadhi ya fursa, mfano kusoma nk ,Mnatafuta kazi weeeeeee, mkishapata mnaanza kuzidharau, waachieni wenzenu ambao wanazihitaji, nyie mrudi hospitali za private mjini
Ulitaka wa vijijini watibiwe na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo mwishoni..Katika dunia ya utandawazi kuishi mahali pasipo na umeme wala mtandao kisa kilimo na nyumba za bure zisizo na umeme ni ufala.
Sitakaa eneo la namna hii tena bora kufa masikini.
Wanasiasa wanakula bata kwenye ma-V8 hawakumbuki wenzao wa vijijini eti kisa hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Unaweza kuishia kuwa mchicha kiboya
Kuna jamaa kapangiwa kakuta zahanati ipo kwenye lenta hakuna maji hakuna umeme.
[emoji28][emoji28][emoji28]Labda utoboe Tundu la choo.
Maisha kijijini ni maisha ya kiseng* sanaaa
Yaani huku fursa ni kulima na kufuga tuuuu.
Mwalimu ana nyumba na kaduka basi ndio wanamuona katoboaaaa.
#YNWA
Hahahahaha! Sawa naona umetegua mtego!Ushasema ni Volunteers.
Hao ni kama wanajeshi wako vitani.
Hahaha! Sawa!Kwani wanaka kwa miaka mingapi au miezi tu? Wewe unajilinganisha na watu wanao lipwa mshahara na allowance inao zidi kipato chote cha kijiji wewe unaota, kijijini ni nusu jahanamu unaishi kama mnyama wakufuga.
Alafu anakatuma kabinti kenye tako uku kamevaa khangaila asikwambie mtu ukiwa mfanyakazi huko vijijini unatukuzwa vibaya sana unakuta hadi chakula unaletewa na mama nyumba ya jirani anamtuma binti yake
[emoji28]jmn kama rfk yangu mmoja iviiHuwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wewe unaandika lakin hapoi upo mjini hahahah!!Kijijini usalama tosha hakuna vibaka vyakula natural,hakuna mmomonyoko wa maadili
Huwa nawaonea huruma sana hasa waalimu wa kike yaani unakuta binti kakulia Dar halafu anakuja kupangiwa kazi kijijini ndani kabisa tena mkoa tofauti unakuta wakazi wa huko hawajui hata kiswahili wanaongea kirugha chao tu, kijiji kizima hakuna hata duka na internet haikamati hata simu yenyewe mtandao unasoma kwa taabu!
Mbaya zaidi hakuna umeme wala maji
Ni mwendo wa kibatari na maji ya kisima tena ya kufuata kijiji cha tatu
Hapo ni mwaka mmoja tu binti wa watu keshazeeka kachooka kama kikongwe wa miaka 90
Unakuta ameshakuwa chakula cha wafugaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesahau hakuna pisi kaliMtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.
Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.
Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.
Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.
Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?
NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Upo sahihi kbsaa dada yangu ndoto imepoteaa na kaolewa kijijini na alikuwaa sista duuu wa kwendaaa kbsaaaaKupangiwa kazi vijijini kunapoteza ndoto za wengi katika hali tofauti tofauti
Masista duu wengi hasa walimu waliokuwa wanawaza kuolewa na washikaji zao wa Dar wenye vibunda, kila wakihangaikia uhamisho serikali inabana umri unaenda wameishia kuolewa na walimu wenzao au wakulima wa vijijini.
Mi binafsi maisha ya dar yalinishinda, napenda kuishi kijijiniWaende mjini wakajirushe weekend jumatatu kazini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee kule ni hatari saaaana! Wakina ByengerengereWewe haupo kijijini mkuu. Nenda muleba kata za Rutoro na Ngenge ndiyo utaelewa maana ya kijiji.
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app