Kumbe unapajua vizuri mkuu. Mtoto akifaulu ili aende sekondari anatakiwa atembee kilometa 40 kila siku. Mwanafunzi wa shule ya msingi anatembea kila siku kilometa 16 kwenda kurudi kuifuata shule ( 8 kwenda na 8 kurudi kwa mguu tena anapita porini hakuna hata makazi ya watu)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee kule ni hatari saaaana! Wakina Byengerengere
Hajui Kuna Vijiji wakiona shule imejengwa vyumba vinaanza kupanda bei mpaka ardhiHicho ni kijiji cha ndotoni
Kuna vijiji nchi hii shule ikianza kujengwa wanaalikwa wachawi wote waje waroge ili majengo ya shule yaporomoke. Hawataki kabisa kusikia habari za elimu.Hajui Kuna Vijiji wakiona shule imejengwa vyumba vinaanza kupanda bei mpaka ardhi
Kule napajua vizuri saaana, lakini sahv umeme wa REA umefika.Kumbe unapajua vizuri mkuu. Mtoto akifaulu ili aende sekondari anatakiwa atembee kilometa 40 kila siku. Mwanafunzi wa shule ya msingi anatembea kila siku kilometa 16 kwenda kurudi kuifuata shule ( 8 kwenda na 8 kurudi kwa mguu tena anapita porini hakuna hata makazi ya watu)
Hata keng* mmoja anakwambia kijijini kuna fursa, p*mb*v*.
Mkuu umeme hakuna haujafika trust me nenda hata sasa hivi hakuna umeme. Halafu ulifurahia tu ulipita.Kule napajua vizuri saaana, lakini sahv umeme wa REA umefika.
Kuna zile njia za ng'ombe zina mawe mawe yamechongoka tukapata pancha maeneo yale wakati tupo hoi kwa njaa, lakini tulivofika kijijini maisha burudani saaana.
Vyakula bei rahisi na vinapatikana...
Kitimoto mbichi kilo elfu2 iliyopikwa elfu3 siku ya mnada
Can't forget that beautiful place
Kwenye mademu nakupinga mkuu, kule ndo makazi ya wahamiaji wa kinyarwanda, wanafuga ng'ombe nyingi sana kule, mademu wapo, hata manesi na waalimu waliopangiwa huko nao ni chakula yako...Mkuu umeme hakuna haujafika trust me nenda hata sasa hivi hakuna umeme. Halafu ulifurahia tu ulipita.
Hebu fikiria umefuga nguruwe wako hadi amekomaa unauza kwa kilo elfu 2. Utatobia lini sasa hata ukiwekeza huko. Jogoo la kuku aliyenona elfu kumi.
Hakuna mademu yaani akija demu mmoja kata nzima inaandamana kumtongoza.
Wanaopasifia kijijini wajitathmini kabisa au kama vipi wahamie huko ili wakale hizo bata wanazofikiri zipo.
Mkuu shida unaongea kwa kusikiliza sitori. Mimi naongea kwa sababu nimeishi miaka miwili huko. Hao wanayarwanda unaowasikia huwezi kuwaona na ukiwaona ni ile mijimama iliyozalishwa na ikashindwa maisha. Wanyarwanda wabichi huwezi kuwaina sababu wanapelekwa shule za hela na baba zao na huwa hawarudi huko porini.Kwenye mademu nakupinga mkuu, kule ndo makazi ya wahamiaji wa kinyarwanda, wanafuga ng'ombe nyingi sana kule, mademu wapo, hata manesi na waalimu waliopangiwa huko nao ni chakula yako...
Kuna mwalimu alikuwa ananunua mahindi kule na kuja kuyaweka ghalani pale Mulemba mjini alikuwa anapiga hela sana...
Kule kutakupoteza kama utakaa kule kule, ila kama unasafiri kwenda mjini nakurudi trust me mtu wa Dar hakuoni kwa utajiri utakaokuwa nao
Kabisa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi vijiji vingi vimechangamka.
Aixee kunamwamba mmoja bhana tulikuwa nae kitaa,tunapambana alikuwa anasema akipata sehem yoyote ye anasepa,alivyopata mwaka huu kwenda kuriport karudi analalamika huyoo anasema kule hakufai kashaanza mishe za kuchange kituo Mimi na mwangalia tu nasema ndio huyu kweli au😄Watu mna AJIRA na bado mnalalamika[emoji23][emoji23].
Nasisi tusio na kazi wala kustahili kupata kazi yoyote ya serikali tuseme nini?
Ifike mahala ninyi wasomi uchwara mkubaliane na mazingira ya maendeleo ya hii nchi masikini, ni ngumu kuimarisha kila eneo la ufanyaji kazi kwa hivi vinchi vyetu, mambo mengine tuache ulalamishi[emoji23].
Just imagine hii mada wakiiona wale watembeza BAHASHA na wanaosambaza CV miaka na miaka na hawaitwi makazini wanaonaje mnafanya HANASA huko makazini kwa kutaka wote mjazane mijini[emoji23][emoji23].
Ndio maana ya kijiji baadhi ya huduma zisipatikane, baadhi ya bidhaa ziwe adimu ili ninyi wasomi hewa mkienda huko mkatoe challenge na sio kulalamika kijinga[emoji23][emoji23].
Jobless njoeni huku muwaone hawa wapenda anasa.
Hatuishi milele kwenye hii Dunia, kwanza wabongo wengi hata kufika 60 ni mbinde, kwa hii miaka michache tunayoishi hapa duniani unadhani ukifa utaenda kupewa tuzo huko kwamba ulikua mahiri kuvumilia mazingira magumuu, labda uwe native wa hayo mazingiraWatu mna AJIRA na bado mnalalamika[emoji23][emoji23].
Nasisi tusio na kazi wala kustahili kupata kazi yoyote ya serikali tuseme nini?
Ifike mahala ninyi wasomi uchwara mkubaliane na mazingira ya maendeleo ya hii nchi masikini, ni ngumu kuimarisha kila eneo la ufanyaji kazi kwa hivi vinchi vyetu, mambo mengine tuache ulalamishi[emoji23].
Just imagine hii mada wakiiona wale watembeza BAHASHA na wanaosambaza CV miaka na miaka na hawaitwi makazini wanaonaje mnafanya HANASA huko makazini kwa kutaka wote mjazane mijini[emoji23][emoji23].
Ndio maana ya kijiji baadhi ya huduma zisipatikane, baadhi ya bidhaa ziwe adimu ili ninyi wasomi hewa mkienda huko mkatoe challenge na sio kulalamika kijinga[emoji23][emoji23].
Jobless njoeni huku muwaone hawa wapenda anasa.
Sijajua Kama unataka kuelewa au kubisha tu.MoseKing
Ulichosema mwanzo na unachojibu sasa naona kama kuna utofauti mkubwa let me qoute sentensi mbili
Biashara siyo ya vyakula vya kuku tu. Ni vyakula vya mifugo.Kwahio naongelea hio biashara ya vyakula vya kuku ambayo kila mtu anafanya
Kuku unafuga wapi?Kwahio mfano ukifuga kuku ambao chakula inabidi ununue ambacho kila mtu anafanya sababu hata wewe ukifanya huwezi kufanikiwa hence supply ni kubwa au ?
Mimi nimesema wapi kushirikishwa ni tatizo?Nadhani tatizo kubwa la huko kama nilivyosema mwanzo itakuwa sio ushirikiano / kushirikishwa wewe kama mgeni.... ila technically tukienda word by word kwa ulichoandika your argument does not hold water....
Aisee !!!Sijajua Kama unataka kuelewa au kubisha tu.
Biashara siyo ya vyakula vya kuku tu. Ni vyakula vya mifugo.
Kuku unafuga wapi?
Kwenye nyumba ya kupanga au?
Mimi nimesema wapi kushirikishwa ni tatizo?
98% ya wafanyakazi wote wa huku wanataka kuhama.Aisee !!!
Rudia kusoma ulichoandika, nilichoku-qoute, ulijonijibu na nilichokujibu na ulichojibu hapa; Kama bado utakuwa una utata na ninachosema na wewe unachosema huenda ninaandika kiswahili ila kinachosomeka huko ni Kichina....
Huwa natamani kusoma comments za watu wenye akili positive. Brother kama hutojali naomba uwe mentor wanguKijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).
Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.
Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.
Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.
In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
Jibu tosha kabisa😂😂😂Hicho ni kijiji cha ndotoni
[emoji23][emoji23][emoji23]Humu humu Tanzania.
#YNWA