Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee kule ni hatari saaaana! Wakina Byengerengere
Kumbe unapajua vizuri mkuu. Mtoto akifaulu ili aende sekondari anatakiwa atembee kilometa 40 kila siku. Mwanafunzi wa shule ya msingi anatembea kila siku kilometa 16 kwenda kurudi kuifuata shule ( 8 kwenda na 8 kurudi kwa mguu tena anapita porini hakuna hata makazi ya watu)

Hata keng* mmoja anakwambia kijijini kuna fursa, p*mb*v*.
 
Hajui Kuna Vijiji wakiona shule imejengwa vyumba vinaanza kupanda bei mpaka ardhi
Kuna vijiji nchi hii shule ikianza kujengwa wanaalikwa wachawi wote waje waroge ili majengo ya shule yaporomoke. Hawataki kabisa kusikia habari za elimu.
 
Kumbe unapajua vizuri mkuu. Mtoto akifaulu ili aende sekondari anatakiwa atembee kilometa 40 kila siku. Mwanafunzi wa shule ya msingi anatembea kila siku kilometa 16 kwenda kurudi kuifuata shule ( 8 kwenda na 8 kurudi kwa mguu tena anapita porini hakuna hata makazi ya watu)

Hata keng* mmoja anakwambia kijijini kuna fursa, p*mb*v*.
Kule napajua vizuri saaana, lakini sahv umeme wa REA umefika.

Kuna zile njia za ng'ombe zina mawe mawe yamechongoka tukapata pancha maeneo yale wakati tupo hoi kwa njaa, lakini tulivofika kijijini maisha burudani saaana.

Vyakula bei rahisi na vinapatikana...

Kitimoto mbichi kilo elfu2 iliyopikwa elfu3 siku ya mnada

Can't forget that beautiful place
 
Mkuu umeme hakuna haujafika trust me nenda hata sasa hivi hakuna umeme. Halafu ulifurahia tu ulipita.

Hebu fikiria umefuga nguruwe wako hadi amekomaa unauza kwa kilo elfu 2. Utatobia lini sasa hata ukiwekeza huko. Jogoo la kuku aliyenona elfu kumi.

Hakuna mademu yaani akija demu mmoja kata nzima inaandamana kumtongoza.

Wanaopasifia kijijini wajitathmini kabisa au kama vipi wahamie huko ili wakale hizo bata wanazofikiri zipo.
 
Kwenye mademu nakupinga mkuu, kule ndo makazi ya wahamiaji wa kinyarwanda, wanafuga ng'ombe nyingi sana kule, mademu wapo, hata manesi na waalimu waliopangiwa huko nao ni chakula yako...

Kuna mwalimu alikuwa ananunua mahindi kule na kuja kuyaweka ghalani pale Mulemba mjini alikuwa anapiga hela sana...

Kule kutakupoteza kama utakaa kule kule, ila kama unasafiri kwenda mjini nakurudi trust me mtu wa Dar hakuoni kwa utajiri utakaokuwa nao
 
Mkuu shida unaongea kwa kusikiliza sitori. Mimi naongea kwa sababu nimeishi miaka miwili huko. Hao wanayarwanda unaowasikia huwezi kuwaona na ukiwaona ni ile mijimama iliyozalishwa na ikashindwa maisha. Wanyarwanda wabichi huwezi kuwaina sababu wanapelekwa shule za hela na baba zao na huwa hawarudi huko porini.

Wanyarwanda wamewekeza zaidi mifugo yao huko lakini familia zao ni nadra sana kuzikuta huko. Wanaishi kwa mfumo wa kambi tu.

Hata kwa picha tu kule ni porini. Ulisikia wapi porini kuna mademu? Hao manesi unawatoa wapi wakati kata nzima haina hata zahanati? Hao walimu wa kike unawatoa wapi. Mfano kata nzima ina walimu 40. Kiume 37 kike 3. Sasa hapo kuna usawa kweli?

Kule mabinti wanaolewa wakiwa la 5, 6 au la 7 na hakuna anayejali. Kule hata serikali haipo. Kubakana huko ni suala la kawaida sana kwa sababu ya uhaba wa mademu.

Mkuu kuhusu maisha ya kijijini nina mengi sana ya kueleza ila acha niachie na wengine. Bado sijaongea ya kimwani sasa.

Bukoba ni tamu kuitamka mdomoni tu fika sasa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi vijiji vingi vimechangamka.
Kabisa!

Sasa hivi unakuta kijijini vijana wamevaa modo na kunyoa denge na viduku.

Shule za kata zimesaidia sana
 
Watu mna AJIRA na bado mnalalamika[emoji23][emoji23].

Nasisi tusio na kazi wala kustahili kupata kazi yoyote ya serikali tuseme nini?

Ifike mahala ninyi wasomi uchwara mkubaliane na mazingira ya maendeleo ya hii nchi masikini, ni ngumu kuimarisha kila eneo la ufanyaji kazi kwa hivi vinchi vyetu, mambo mengine tuache ulalamishi[emoji23].

Just imagine hii mada wakiiona wale watembeza BAHASHA na wanaosambaza CV miaka na miaka na hawaitwi makazini wanaonaje mnafanya HANASA huko makazini kwa kutaka wote mjazane mijini[emoji23][emoji23].

Ndio maana ya kijiji baadhi ya huduma zisipatikane, baadhi ya bidhaa ziwe adimu ili ninyi wasomi hewa mkienda huko mkatoe challenge na sio kulalamika kijinga[emoji23][emoji23].

Jobless njoeni huku muwaone hawa wapenda anasa.
 
Aixee kunamwamba mmoja bhana tulikuwa nae kitaa,tunapambana alikuwa anasema akipata sehem yoyote ye anasepa,alivyopata mwaka huu kwenda kuriport karudi analalamika huyoo anasema kule hakufai kashaanza mishe za kuchange kituo Mimi na mwangalia tu nasema ndio huyu kweli au😄
 
Watu mna AJIRA na bado mnalalamika[emoji23][emoji23].

Nasisi tusio na kazi wala kustahili kupata kazi yoyote ya serikali tuseme nini?

Ifike mahala ninyi wasomi uchwara mkubaliane na mazingira ya maendeleo ya hii nchi masikini, ni ngumu kuimarisha kila eneo la ufanyaji kazi kwa hivi vinchi vyetu, mambo mengine tuache ulalamishi[emoji23].

Just imagine hii mada wakiiona wale watembeza BAHASHA na wanaosambaza CV miaka na miaka na hawaitwi makazini wanaonaje mnafanya HANASA huko makazini kwa kutaka wote mjazane mijini[emoji23][emoji23].

Ndio maana ya kijiji baadhi ya huduma zisipatikane, baadhi ya bidhaa ziwe adimu ili ninyi wasomi hewa mkienda huko mkatoe challenge na sio kulalamika kijinga[emoji23][emoji23].

Jobless njoeni huku muwaone hawa wapenda anasa.
Hatuishi milele kwenye hii Dunia, kwanza wabongo wengi hata kufika 60 ni mbinde, kwa hii miaka michache tunayoishi hapa duniani unadhani ukifa utaenda kupewa tuzo huko kwamba ulikua mahiri kuvumilia mazingira magumuu, labda uwe native wa hayo mazingira
 
MoseKing

Ulichosema mwanzo na unachojibu sasa naona kama kuna utofauti mkubwa let me qoute sentensi mbili
Sijajua Kama unataka kuelewa au kubisha tu.
Kwahio naongelea hio biashara ya vyakula vya kuku ambayo kila mtu anafanya
Biashara siyo ya vyakula vya kuku tu. Ni vyakula vya mifugo.
Kwahio mfano ukifuga kuku ambao chakula inabidi ununue ambacho kila mtu anafanya sababu hata wewe ukifanya huwezi kufanikiwa hence supply ni kubwa au ?
Kuku unafuga wapi?

Kwenye nyumba ya kupanga au?
Nadhani tatizo kubwa la huko kama nilivyosema mwanzo itakuwa sio ushirikiano / kushirikishwa wewe kama mgeni.... ila technically tukienda word by word kwa ulichoandika your argument does not hold water....
Mimi nimesema wapi kushirikishwa ni tatizo?
 
Sijajua Kama unataka kuelewa au kubisha tu.

Biashara siyo ya vyakula vya kuku tu. Ni vyakula vya mifugo.

Kuku unafuga wapi?

Kwenye nyumba ya kupanga au?

Mimi nimesema wapi kushirikishwa ni tatizo?
Aisee !!!

Rudia kusoma ulichoandika, nilichoku-qoute, ulijonijibu na nilichokujibu na ulichojibu hapa; Kama bado utakuwa una utata na ninachosema na wewe unachosema huenda ninaandika kiswahili ila kinachosomeka huko ni Kichina....
 
98% ya wafanyakazi wote wa huku wanataka kuhama.

98% ya wafanyakazi wote wenyeji wa huku waliopangwa maeneo mengine hawataki kurudi huku kwa Uhamisho wa kubadilishana.

98% ya wenyeji wa huku wamekimbia maeneo mengine, huku wanarudi mwisho wa mwaka.

Hiyo ndio hali halisi.

Nyingine porojo tu na ubishi wa ajabu ajabu
 
Kijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).

Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.

Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.

Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.

In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
Huwa natamani kusoma comments za watu wenye akili positive. Brother kama hutojali naomba uwe mentor wangu
 
Kuna mwanetu alipangiwa kufundisha sekondari huko ndani ndani alienda kuripoti halmashauri wakaaanza kupelekwa na landcruiser kila mtu shule anayoenda kufika kwake wanamshusha kwamba wew utafundisha hapa mwamba aligoma kushuka kwenye gari baada ya siku 3 akarudi kitaa kwa Sasa anajiendeshea tipa la mchanga,,vijijini kusikieni tu wajomba
 
Back
Top Bottom