Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Kijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).

Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.

Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.

Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.

In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
Ulishawahi kufika kijijini wewe?
 
Huko ndio utajiri ulipo, na mahali panapokimbiwa ndio penye mafanikio

Lavish lifestyle
Kina Rostam, Dewj, Manji, Nk wanakaa mjini[emoji3][emoji3] huo utajiri wasingeupata wakiwa ndani ndani huko

Nb, japo mie nilibase kwenye mambo ya kitaaluma, sema wachangiaji ndio wamepindua meza
 
Upo sahihi kabisaaa

Wale wa Halmashauri za Wilaya zile ngumuuu kama

1. Ukerewe
2. Momba
3. Mpimbwe
4. Mlele
5. Tanganyika

Watakuelewa vizuri sanaaa. Ukiwa halmashauri hizi Kutoboa ki exporure, academic na financially ni taabu sanaaaaaa.

Raia wa humo huwaza kulima na kufuga tu.

#YNWA
Financially kwa nini usitoboe? Nitakupa mifano kadhaa : 1.Kuna mwalimu mmoja naye alitupwa huko vijijini kama unavyosema. Akaamua kujikita kwenye kilimo (mpunga na Mahindi) alichukua mkopo tena kama milioni 2 hivi ili kukodisha mabonde na mashamba mazuri, kupata pembejeo, kulipa vibarua na gharama zingine.

Baada ya miaka mitatu alikuwa na uwezo wa kulima na kununua mazao kwa wakulima, yaani wanamletea wenyewe hapo nyumbani kwake. Baadae alinunua mashamba, mifugo, kuku, akawa na bodaboda mpaka Kenta ya kutoa mizigo yake. Kama unavyojua figisu za makazini wakaanza kumuonea wivu na wakamhamishia sehemu nyingine kumkomoa.

Hata hivyo haikusaidia kwa sababu na huko nako akaanzisha miradi na pia kuleta mdogo wake kusimamia kule walikomtoa. .2. Kuna jamaa yeye alikuwa mtumishi wa afya kwenye kituo cha afya huko vijijini,sehemu ambazo kuna wafugaji kibao. Yeye akawa ananunua dawa za mifugo kidogo kidogo na kuwauzia wafugaji, huku na yeye akijifunza kufuga na kulima.

Baadae akawa yeye ndiye muuzaji mkubwa wa dawa za mifugo, akanunua pikipiki ili aweze kwenda mpaka huko ndani ndani waliko wafugaji,na mwishowe alipopata mtaji akafungua duka la pembejeo na kuuza vifaa/dawa za mifugo. Kiukweli maisha huko vijijini yanahitaji kuangalia fursa na kuzitumia... Huyo jamaa aliyekuwa kituo cha afya baada ya kupotezana naye for about 10 years nilikutana naye kwenye hospitali ya wilaya, akaniambia alijiendeleza, hata alipokuwa vijijini na sasa ni medical officer, na biashara zake zingine kazihamishia pale wilayani.
 
Kijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).

Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.

Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.

Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.

In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
Umeongea vizuri mnooo, na hiki ndicho ambacho watu hawakioni au wanajifanya mbuni... Mimi miaka ya nyuma nimefanya kazi vijijini na niliweza kupata mashamba ya kutosha, tena mazuri, mengine yana matunda yanayozaa kama miembe, machungwa, machenza, migomba nk... Nimeuziwa nyumba iliyojengwa mpaka kwenye lenta iliyoko kwenye eneo la heka 3 kwa bei chee na ya kulipa kwa awamu.

Leo ukifika hapo kwangu shambani unaweza kudhani mimi nilikuwa tajiri mkubwa kumbe walaaa.... Wanakijiji ukiishi nao vizuri, akiwa na shida atakutafuta ili kama utapenda kununua mali yake akuuzie. Mimi kwa sasa niko mjini, lakini kule kijijini kwenye mji wangu huo nakutegemea mnooo na sijawahi kujuta.
 
Kijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).

Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.

Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.

Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.

In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
Huko Tanganyika, au Mlele ukilima kuuza ni Tatizo pia.
 
Mtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.

Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.

Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.

Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.

Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?

NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Kijijini ukitulia Kuna flusa nying sana kuliko mjini lakin katika kujiendeleza kitaaluma vijijiini unakuwa umefeli,, lakini pia katika swala la kujiendeleza katika kupata kipato kijijini Kuna faidia zaid
 
Unaacha kuwaza pesa unawaza kujiendeleza?
 
Financially kwa nini usitoboe? Nitakupa mifano kadhaa : 1.Kuna mwalimu mmoja naye alitupwa huko vijijini kama unavyosema. Akaamua kujikita kwenye⅞ kilimo (mpunga na Mahindi) alichukua mkopo tena kama milioni 2 hivi ili kukodisha mabonde na mashamba mazuri, kupata pembejeo, kulipa vibarua na gharama zingine. Baada ya miaka mitatu alikuwa na uwezo wa kulima na kununua mazao kwa wakulima, yaani wanamletea wenyewe hapo nyumbani kwake. Baadae alinunua mashamba, mifugo, kuku, akawa na bodaboda mpaka Kenta ya kutoa mizigo yake. Kama unavyojua figisu za makazini wakaanza kumuonea wivu na wakamhamishia sehemu nyingine kumkomoa. Hata hivyo haikusaidia kwa sababu na huko nako akaanzisha miradi na pia kuleta mdogo wake kusimamia kule walikomtoa. .2. Kuna jamaa yeye alikuwa mtumishi wa afya kwenye kituo cha afya huko vijijini,sehemu ambazo kuna wafugaji kibao. Yeye akawa ananunua dawa za mifugo kidogo kidogo na kuwauzia wafugaji, huku na yeye akijifunza kufuga na kulima. Baadae akawa yeye ndiye muuzaji mkubwa wa dawa za mifugo, akanunua pikipiki ili aweze kwenda mpaka huko ndani ndani waliko wafugaji,na mwishowe alipopata mtaji akafungua duka la pembejeo na kuuza vifaa/dawa za mifugo. Kiukweli maisha huko vijijini yanahitaji kuangalia fursa na kuzitumia... Huyo jamaa aliyekuwa kituo cha afya baada ya kupotezana naye for about 10 years nilikutana naye kwenye hospitali ya wilaya, akaniambia alijiendeleza, hata alipokuwa vijijini na sasa ni medical officer, na biashara zake zingine kazihamishia pale wilayani.

""Kiukweli maisha huko vijijini yanahitaji kuangalia fursa na kuzitumia...""

Hapana, huko hakuna Fursa zaidi ya kulima na kufuga tuuu...

Je kwa kijana aliyekulia mjini hajui na hapendi kulima na kufuga??

#YNWA
 
Kijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).

Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.

Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.

Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.

In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
Kabisa mm naona kijijini fulusa ni nyingi sana na serikali inafanya hvyo kupanua nyanja mbalmbli za elimu na ufahamu tofauti maana ukiwa na elimu unawez kushawish jamii ya kijijini kufanya fulusa nzuli ambazo zinawez kuleta chachu ya maendelea katika jamii kutokana na elimu yako uliyonayo,na hata pia kuleta ubunifu WA aina tofaut katika jamii,, mtu anaekataa kupangiwa kazi kijijini huyo anaakili ya kukalili mshaala tu lakin si kujiendeleza kupata kipato kingi Zaid ya mshaala anaoupata
 
Tanganyika ni Wilaya nzuri Kwa kilimo na inafikika vizuri,Tarura imefungua mawasiliano kufika kusiko fikika ,pia umeme upo karibu Vijiji vyote Kwa Sasa.
We mnyamwanga JITAHIDI 2025 utangaze Nia ya kugombea ubunge.
Maana sijui unaongelea fursa au unainadi CCM.

Anyway ukitoka humu nenda kajinu hoja za Prof. Shivji za bandari.

#YNWA
 
Mimi nilipangiwa kufunfundisha shule ya msingi Ilengo, iko ndani ndani mbozi huko, hata sijui ni mkoa gani.

Nilipofika tu na baada ya kusalimiana na mwalimu mkuu na walimu wengine, Mwalimu mkuu akaniambie twende nje, nikakuoneshe madhari ya shule yetu.

Akanizingusha kwenye madarasa, shamba la shule, etc etc na hatimaye kwenye eneo lenye nyumba nyingi za nyasi, kama pale kijiji cha makumbusho jijini Dsm.

Akaniambia: unaiona ile? , ile pale je? na hiyo ya kushoto kwako?
Nikamwambia naziona na kabla hajaendelea nikachomekea: haya mabanda yanafaa sana kwa ajili ya kilimo cha uyoga. " unajua mwalimu mkuu, tukilima uyoga humu tutapiga pesa ndefu kuliko hao wanaoendesha bodaboda.
Mwalimu mkuu alitabasamu na kuniambia "haya siyo mabanda ni kotas za walimu, sasa kati ya hizo tatu nilizokuonesha, wewe unachagua ipi?
Sikujua ni nini kilinitokea, lakini baada ya siku ya saba, nilizindukia hospitali ya rufaa Mbeya.
 
Komaa wakuhamishie mjini Vwawa, Mlowo au kwengine.

Mbozi ina mjini nyingi sanaa.

Wasalimie wanyia.

#YNWA
 
Mimi nilipangiwa kufunfundisha shule ya msingi Ilengo, iko ndani ndani mbozi huko, hata sijui ni mkoa gani.

Nilipofika tu na baada ya kusalimiana na mwalimu mkuu na walimu wengine, Mwalimu mkuu akaniambie twende nje, nikakuoneshe madhari ya shule yetu.

Akanizingusha kwenye madarasa, shamba la shule, etc etc na hatimaye kwenye eneo lenye nyumba nyingi za nyasi, kama pale kijiji cha makumbusho jijini Dsm.

Akaniambia: unaiona ile? , ile pale je? na hiyo ya kushoto kwako?
Nikamwambia naziona na kabla hajaendelea nikachomekea: haya mabanda yanafaa sana kwa ajili ya kilimo cha uyoga. " unajua mwalimu mkuu, tukilima uyoga humu tutapiga pesa ndefu kuliko hao wanaoendesha bodaboda.
Mwalimu mkuu alitabasamu na kuniambia "haya siyo mabanda ni kotas za walimu, sasa kati ya hizo tatu nilizokuonesha, wewe unachagua ipi?
Sikujua ni nini kilinitokea, lakini baada ya siku ya saba, nilizindukia hospitali ya rufaa Mbeya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Salute Kwa walimu ahsee
 
Kabisa mm naona kijijini fulusa ni nyingi sana na serikali inafanya hvyo kupanua nyanja mbalmbli za elimu na ufahamu tofauti maana ukiwa na elimu unawez kushawish jamii ya kijijini kufanya fulusa nzuli ambazo zinawez kuleta chachu ya maendelea katika jamii kutokana na elimu yako uliyonayo,na hata pia kuleta ubunifu WA aina tofaut katika jamii,, mtu anaekataa kupangiwa kazi kijijini huyo anaakili ya kukalili mshaala tu lakin si kujiendeleza kupata kipato kingi Zaid ya mshaala anaoupata
Aliye andika hivi ukute ye anafanya Kazi Ilala.

#YNWA
 
Back
Top Bottom