Von_Lufuta
JF-Expert Member
- Mar 19, 2023
- 1,528
- 3,641
Anafamasiala nini na M1Mil.1 unaisikia au unaleta mzaha? Ni risk kwa hizo 450k lakini sio Kwa 800k plus maana unakuwa doni wa Kijiji yaani wote wanakuja kwako lazima utoboe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafamasiala nini na M1Mil.1 unaisikia au unaleta mzaha? Ni risk kwa hizo 450k lakini sio Kwa 800k plus maana unakuwa doni wa Kijiji yaani wote wanakuja kwako lazima utoboe.
Mkuu utobowe je wakati unakunywa maji machafu kama wa wanyama, una kula chakula cha hovyo umezungukwa na watu masikini akili zao zimeja uchawi, kilimo, na kuzaliana, usafiri shida ukiugua ni manusura tu ya kifo.....pesa ina umuhimu ukiwa inakupa huduma safi ila ni useless kama hamna huduma hiyo 1m mimi naona kama taka taka kama siwezi kuitumia kupata huduma safi, huo ujinga wa kuka porini sifanyi kabisa piga ua, nyie mtuhakilishe uko mtuletee mayayi ya kuku za kienyeji tutanunua 500@ ila huku Bush hatuji kabisaMil.1 unaisikia au unaleta mzaha? Ni risk kwa hizo 450k lakini sio Kwa 800k and above maana unakuwa doni wa Kijiji yaani wote wanakuja kwako lazima utoboe.
Aliyekwambia Vijijini Kuna maji machafu nani? Zahanati Kila Kijiji ,umeme upo Barabara zipo shida Iko wapi?Mkuu utoboe je wakati unakunywa maji machafu kama ya wanyama, unakula hovyo umezungukwa na watu masikini akili zao zimeja uchawi, kilimo, na kuzaliana, usafiri shida ukiungua ni manusura tu ya kufa.....pesa ina umuhimu ukiwa inakupa huduma safi ila ni useless kama hamna huduma hiyo 1m mimi naona kama taka taka kama siwezi kuitumia kupata huduma safi, huo ujinga wa kuka porini sifanyi kabisa piga ua
Kitendo tu cha kujua kua duniani kunahitaji pesa, basi unaweza kuona hata kijijini kunafaa na baadae itarejea mjini ukitaka na ukiwa na mafanikio makubwa sana tu, tumepitia humo kutoka katikati ya Jiji tulipozaliwa na kusoma na maisha yalitupiga mbaya kabisa, tuliposogea kijijini kikazi tulibadilisha maisha ya mjini ktk familia zetu, kusoma ndiyo nini ndugu, swala ni PESA, kusoma sana ni uoga tu wa maisha na kutafuta sifa za kijinga zisizo na msaadaMtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako.
Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini.
Kupata ruhusa kwenda kusoma ni kwa mizengwe mingi maana unakuta watumishi wapo wachache.
Wale madaktari wanaotegemea vijiwe baada ya kazi, ukiwa vijijini kwishaaa.
Wewe ndio Daktari pekee zahanati ya kijijini huko, nani atakupa ruhusa ukasome?
NB: Mjini patabaki kuwa mjini tu.
Jamaa sijamuelewa hata mimi. Mambo ya ujima bado anatembea nayo tuAliyekwambia Vijijini Kuna maji machafu nani? Zahanati Kila Kijiji ,umeme upo Barabara zipo shida Iko wapi?
Network ipo unaingia kwenye mitandao Sasa hao wa kuzungukwa si unaamua mwenyewe au?
Hizo stori zilikuwa enzi hizo hakuna hayo niliyokwambia hapo Juu,siku hizi pesa unatoa huko huko rural Kuna mawakala nk.
Mpwayungu VillageMtu ni nesi sijui Mwalimu wa Cheti hana uwezo wa kupata 400k ya pamoja eti nae anachagua pa kuishi 🤣🤣🤣🤣
Huku ni Rural kabisa watu wanapata maji harafu anaongea nini sijuiJamaa sijamuelewa hata mimi. Mambo ya ujima bado anatembea nayo tu
Mkuu ni only 20% ya vijiji vyenye huduma muhimu 80% ni nusu jahanamu wewe nenda tu Lindi DC kuna sehemu inaitwa mulowa kata ni kama 30km kutoka mjini kuna kijiji kinaitwa mputwa, nilisha wahi kufika uko wakati tunatafuta watu wenye damu pure ambazo hazijawahi kutumia hizi dawa ya kizungu, kule sio rahisi kutofoutisha mtu na mnyama, tembo ni jirani wao kawaida akili zao Mungu ndo ana zijua hakuna maji safi barabara shida soko hamna zahanati moja shule moja, pale ukiwa unanilipa bila kazi kwa 1m kila wili sikae kabisa bora niende madale niuze genge.Aliyekwambia Vijijini Kuna maji machafu nani? Zahanati Kila Kijiji ,umeme upo Barabara zipo shida Iko wapi?
Network ipo unaingia kwenye mitandao Sasa hao wa kuzungukwa si unaamua mwenyewe au?
Hizo stori zilikuwa enzi hizo hakuna hayo niliyokwambia hapo Juu,siku hizi pesa unatoa huko huko rural Kuna mawakala nk.
Acha upuuzi na ubishi usio na Tija basi, Upatikanaji wa Maji Vijijini ni 70% up to mwaka Jana,Sasa usitake nianze kukuonesha,wewe unaishi mjini hata Vijijini hukujui,tuulize sie tunaoshinda Vijijini.Mkuu ni 20% vijiji vyenye huduma muhimu 80% ni nusu jahanamu wewe nenda tu Lindi DC kuna sehemu inaitwa ulowa kata ni kama 30km kutoka mjini kina kijiji kinaitwa mputwa, nilisha wahi kufika wakati tunatafuta watu wenye damu pure ambazo azijawahi kutumia hata madawa ya kizungu, kule sio rahisi kutofoutisha mtu na mnyama, tembo ni jirani wao kawaida akili zao Mungu ndo anazijua tu, pale ukiwa unanilipa bila kazi kwa 1m kila wili sikae kabisa bora niende madale niuze genge.
Wahun tunaruka na mke wako😂😂alikaw vibaya na watoto pia tunaruka naoIshi kijijini familia acha mjini
Purchasing power ya watu wa kijijini ni ndogo sana.wananchi wamechoka hawana hela utawauzia nini wanunue? Hta hayo maziwa utamuuzia nani ikiwa kila mji una ng'ombe zake.Kijijini fursa nyingi sana, hasa kwenye sekta ya ardhi, kilimo, ufugaji (ng'ombe wa maziwa, mbuzi...), usafirishaji, uvuvi (kwa baadhi ya maeneo), maji, na viwanda vidogo (kama kufyatua tofali, kutengeneza makochi, kushona nguo...).
Pia kijijini wana jamii wanakuwa na ushirikiano mkubwa sana kwa wataalamu wa afya, jambo linalokupatia faraja kubwa ambayo ina thamani kubwa isiyoweza kupimwa kwa kipato cha pesa.
Kijijini pia unapata muda wa kuwa karibu na familia yako kama unayo.
Kijijini unaweza kupata nyumba ya serikali bure, au ukapata nyumba nzuri kwa gharama nafuu, hivyo kusave something.
In short kijijini fursa ni nyingi kuliko mjini kwa watu wenye mshahara unaolingana, na kwa mwenye akili inachangamka zaidi nje ya your comfort zone kuliko kudumaa mjini na vijiwe (kufanya fani moja pekee).
Kama ukioa malaya possibleWahun tunaruka na mke wako😂😂alikaw vibaya na watoto pia tunaruka nao
Kwa udongo na nyasi unajenga la gunia elf 2Kirahisi tu namna hio. Mshahara wa laki 4 na nusu unajengaje godauni🤣
Ukitegemea purchasing power Yao imekula kwako unauzia mjiniPurchasing power ya watu wa kijijini ni ndogo sana.wananchi wamechoka hawana hela utawauzia nini wanunue? Hta hayo maziwa utamuuzia nani ikiwa kila mji una ng'ombe zake.
Bush uchawi ndio kiwandani kule wakuu wa anga ndio home sababu wengi ni wenyeji wapo chini ya mzimu mmojaHahahah unalogwa tu na kuwa maskini, labda kama uko vizuri kiimani🤣
Tena vijiji kama Kahama huko watu wanapesa sana tu! Ila kuna wajinga humu wanawaaminisha kuendelea kukaa Dar huku ukipata hela ya kula na kubanana kwenye daladala na mijasho!ACHA kupotosha watu,mi mzawa wa shinyanga na nafanyia KAZI shinyanga Kuna wakulima huku wanalima tumbaku wanapiga zaidi ya milioni 20 Kwa msimu ,Sasa watamuonea wivu Gani mtumishi asie na pesa hata mambo ya waganga huo ni uongo 100%.