Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

Unaongea Vijiji vya usiku wewe sio Bure
 
daah aiseee...huyo balaaa
 
yaah ukiishi kijijinu hakikisha una connection na watu wa mjini ambao mnaweza fanya mambo ya kibiasharaa otherwise hakuna cha maana utafanyaaa... Kijijini yai unalonunua huku mjini 500 kule kila mtu anayooo kafugaaa... hizo nyama za mbuzi huku portion 6000 kijijini umuuzie nani?? mwisho UCHAWI NA WIVU WA MAENDELEO AISEE UNAKUFAA UNAJIONAAA..
 
Makete nimepiga jaramba pale, japo nilikuwa wilayani ila sina hamu nasitakubali kukaa vijijini tena

Uzuri kazi yangu sio lazima kubadilishana na mtu ili kuhama
 
""Kiukweli maisha huko vijijini yanahitaji kuangalia fursa na kuzitumia...""

Hapana, huko hakuna Fursa zaidi ya kulima na kufuga tuuu...

Je kwa kijana aliyekulia mjini hajui na hapendi kulima na kufuga??

#YNWA
Tuambiane ukweli kati ya watanzania milioni 61 ni wangapi vijana wamekulia mijini? Pili hivi ni vijana wangapi watapata ajira serikalini? Ni muhimu sana kuwa na hizi extra life skills. Mfano pale ambapo wewe unaona kilimo na ufugaji ni kazi ya kawaida mwenzako anaichukulia kama ni biashara. Huku kijijini nilipo sasa hivi wenye mashamba wanaotaka mijini ni wengi sana. Kuna ambao hawalimi lakini wameleta matrekta au mafuso kufanya kazi.
 
Mnaringia intaneti mjini wakati huo huo mnalialia hela ya bando eti vifurushi vimepanda.!
 
Ni mtazamo, wengi utajiri wamepatia humo humo.
Kama hakuna Mchaga angalau tarafani yaweza kuwa tatizo au kama kuna mambo ya ushirikina.
 
kwa ulimemwengu huu wa technology, uniingia online study.
 
Kwanini umeenda mjini hukubaki huko huko kijijini?

Yani wanaotoa ushauri kuwa kijijini pazuri panafursa wako mijini[emoji28]
 
Nilikuwa nimevamia fan uwalimu ni wito. Mimi niliacha. Kama mkeo ana wito mwache afundishe. Unataka utumie nguvu ya pesa kivipi? Abadilishiwe kituo? Kama ni hilo sawa.
Yaaah abadilishe kituo aje mimi nilipo... hilo litawezekana kweli... nataka niweke kama milioni 3 mpaka 4 kwa ajili ya kazi hiyo ikishindikana basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…