Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Internet inaleta pia?Kijijini Kila kitu bure kuanzia kuni,maji, chakula unaweza pewa na wanakijiji inategemea na UKARIBU nao, nyumba bure za Serikali au Kodi chini chumba za kisasa hakizidi elf 20,hakuna nauli,mjini mfanyakazi wa chini bila elf 10 ajatoka na kurudi jioni kwake kwa mshahara wa laki 7 wa mjini bila rushwa amalizi mwez wa kijijini mshahara unakutana.
Ulimwengu huu wa internet unakuaje masikini Sasa huku umezungukwa na fursa.
Utakuwa masikini Kama utaki kulink na external world
Ukubali tu ustafu hapo hapoNiko halmashauri ya vijijini kwa miaka 13 sasa ila nachowaza ni kuhama tu.
Watu wengi wanaoniambiaga "usihame kijijini Kuna fursa" huwa nawajibu "Njoo wewe huku mi nije mjini" naonaga hukaa kimyaa na hawanijibu.
#YNWA
Mshamba wa Dar atakwambia kijijini kuna Fursa...... fursa ukiwa na hela sio pa kuchomokeaHivi wewe umewahi Fanya kazi kijijini? Unavifahamu vijiji vya mkoa wa Simiyu au shinyanga? Huku wenyeji hawataki muona mgeni akifanikiwa uchawi Kila Kona tena hadi watumishi wanatumia ndumba hasa wenyeji wa huko unakuta Kijiji kina kaya 400 katika hizi kaya 97 ni za waganga wa kienyeji kaya 250 ni wachawi kaya zilizobaki ndo Zina ahueni umasikini ni WA kutupa halafu kuna mtu anasema vijijini kuna fursa ninawasi wasi utakuwa umetembelea vijiji vya DSM pekee! Kuna vijiji huku greda halijawahi fika kuna Barbara za ng'ombe tu usiombe upate dharula wakati wa masika utajuta.
Tajiri mwenzetu uko kijiji gani kwanza?Kijijini kumejaa madini, misitu, mazao, mifugo,cheap labour, gharama za maisha zipo chini,unakuaje masikini Sasa.
TanganyikaTajiri mwenzetu uko kijiji gani kwanza?
Kwann isileteInternet inaleta pia?
Ili iweje?Ukubali tu ustafu hapo hapo
Upo kada gani mkuu?Ili iweje?
Nina miaka 33
Kukubali hilo ni kukubali kuishi huku miaka 27 ijayo.
Huku sio KUKATA TAMAA?
#YNWA
Ningebaki kule sasa hivi ningekuwa nimezeeka😅😅😅Inaonekana wewe ulikuwa mvivu au hukuipenda kazi ya Ualimu.
Vutu unavyolalamikia ulikuwa utaratibu wa kawaida kabisa ila wewe unaona kama vike ulionewa
Wewe hujui tuSasa secondary si cream kabisa hiyo nikajua ulikua msingi
Eee nshawahi kuwa mwalimu bana sisee hapakuwa mbali na mjini ila vimbi kha!
Ukisikia mtu ni mwalimu mpe heshima zake mimi yalinishinda.
Sijui mnanielewa ama? Ati wanafunzi wakifunga mimi nibaki maeneo ya shule yaani siwezi kwenda nyumbani kama sina likizo ati nibaki nareport shulen kila siku 🤣
Kubwa kuliko yote nikibaki shulen kumbuka wanafunzi wako likizo shulen nakutana na mbuzi ndo zinakuwa zinazunguka viwanjani nyieeee!
Kuandaa sijui assessment sijui ya mwaka sijui nini dah!
Kunifanyia eti kukaguzi wa kustukiza tena niko darasani, siku hiyo nilimuacha darasani nikawaaga wanafunzi nikawaambia sijiskii vizuri.
Bado kufika kazini ikishafika saa 7:30 kitabu cha kusaini kusharudishwa kwa HM
Vumbi la barabarani nikiwa naenda kazini nyieeee!
Wachawi kulala wananiniga usiku!
Niliandika barua ya kwenda masomoni na ndo ukawa mwisho wa ualimu.
Nyie heshimuni watumishi walioko vijiji hasa walimu dah.
Nalima matikiti.""Niliandika barua ya kwenda masomoni na ndo ukawa mwisho wa ualimu.""
Kwasasa wewe ni nani?
#YNWA
YNWAUpo sahihi kabisaaa
Wale wa Halmashauri za Wilaya zile ngumuuu kama
1. Ukerewe
2. Momba
3. Mpimbwe
4. Mlele
5. Tanganyika
Watakuelewa vizuri sanaaa. Ukiwa halmashauri hizi Kutoboa ki exporure, academic na financially ni taabu sanaaaaaa.
Raia wa humo huwaza kulima na kufuga tu.
#YNWA