Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Internet inaleta pia?Kijijini Kila kitu bure kuanzia kuni,maji, chakula unaweza pewa na wanakijiji inategemea na UKARIBU nao, nyumba bure za Serikali au Kodi chini chumba za kisasa hakizidi elf 20,hakuna nauli,mjini mfanyakazi wa chini bila elf 10 ajatoka na kurudi jioni kwake kwa mshahara wa laki 7 wa mjini bila rushwa amalizi mwez wa kijijini mshahara unakutana.
Ulimwengu huu wa internet unakuaje masikini Sasa huku umezungukwa na fursa.
Utakuwa masikini Kama utaki kulink na external world