Kwani wanaka kwa miaka mingapi au miezi tu? Wewe unajilinganisha na watu wanao lipwa mshahara na allowance inao zidi kipato chote cha kijiji wewe unaota, kijijini ni nusu jahanamu unaishi kama mnyama wakufuga.Kwa nini volunteers kutoka Ukaya na USA wanamudu kuishi vijijini Tanzania bila malalamiko? Msiseme wote ni wapelelezi! Wengine ni raia wa kawaida kabisa na wamekuja Afrika kupata ajira wakitokea huko kwao.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app