Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwake hii wengi imewakuta aisee. Ukisikia maisha hayana formula ndo hali kama hizoUpo sahihi kbsaa dada yangu ndoto imepoteaa na kaolewa kijijini na alikuwaa sista duuu wa kwendaaa kbsaaaa
Dar unawekeza kwenye Kodi unaishi mjini kwa rahaMi binafsi maisha ya dar yalinishinda, napenda kuishi kijijini
Hicho ni kijiji cha ndotoniKijijini pazuri sana,hakuna kasino(kumbi za starehe),wadangaji,pisi kali,mboga unakula za kienyeji,nyama Hadi sikukuu,chumba 5000,seem ya kazi ni kalibu hutumii garama za usafiri,shamba unapewa bule,ardhi hela ndogo,ukiwa mkulima,mfugaj,mlanguaji mazao nyumba gari ni haraka sana kupata,wale wa mjini sasa tunapanga Hadi kufa
Vipo mkuu niwewe tu hujazurura hii tz,Hicho ni kijiji cha ndotoni
use ng ndo nini mkuu sijaelewaKuletewa chakula na kutukuzwa ni mafanikio use ng......huo
Mkuu kuna vijiji upatikanaji wa kila kitu ni mgumu mfano maji,huduma za fedha,chakula, na kadhalika.Nimekaa Kijijini kwa Miaka 2 ila hakuna cha maana nilichofanya, maaana watu ni wale wale, vitu ni vile vile.
Kila kitu kibaya kuanzia maji ya kuogea hadi chakula
Mtu anayesema kijijini kuna fursa za kulima hajui wanavyopitia tabu
Hahaaaa mkuu unaweza ukiamuaHivi solar unaweza kutumia machine ya kufulia, microwave, jiko la oven n.k?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuHapa sawa, lakini jazia nyama tupate somo, namna ya kutofanana nao hao watu pori.
Mkuu njoo kijijini bhana changamoto huongeza UWEZO WA KUFIKIRI na MAARIFAJamaa umenifurahisha.
Huyo mshamba anatuaminisha Ujinga.
Kijijini ni kwa Watu waoga tu.
Tatizo siyo hela.Kwamba hela unahonga sana kwa watoto wakichaga ama??
Mkuu HIMARS upo kijiji gani maana naamini hapo fursa ni bweleleNimekaa Kijijini kwa Miaka 2 ila hakuna cha maana nilichofanya, maaana watu ni wale wale, vitu ni vile vile.
Kila kitu kibaya kuanzia maji ya kuogea hadi chakula
Mtu anayesema kijijini kuna fursa za kulima hajui wanavyopitia tabu
Kwahio bei ni ndogo sababu ya competition ?Tatizo siyo hela.
- Biashara huku ni pombe, kitimoto na vyakula vya kuku, na kila mtu anafanya, na wewe chasaka ni ngumu kufanikiwa
Ambacho kila mtu anatengeneza na unaweza kununua kwao au hawakuuzii ?-Huku hakuna shamba kwahiyo huwezi kulima
- Ufugaji huku ni mgumu, maana hakuna ufugaji huria, inabidi mifugo yako ukatie majani, na wewe chasaka huna sehemu ya kukata majani inabidi ununue. Hata kuku Chakula Cha kununua
Ugumu wa maisha ni upi ?, Binafsi nadhani ni perspective huenda Kiu yao / their dreams ni tofauti (mchagga na pesa ni pete na kidole vilevile competition ya kuwa nazo zaidi ya mwingine watu wanakwenda huku na kule ku-accumulate pesa / utajiri sababu mwisho wa siku kwao ndio mafanikio / kipimo cha kufanikiwa (ile status ya mmasai na mifugo kwao ni pesa)Usione Kilimanjaro imejaa wazee ukafikiri ni bahati mbaya, vijana wanakimbia huku maisha magumu sana
Kwa mahali hapo mkuu fursa zipo ila hujaziona niambie ni Kilimanjaro ipi upo na kuna aina gani ya mimea ya kudumu na muda mfupi huko.Tatizo siyo hela.
-Huku hakuna shamba kwahiyo huwezi kulima
- Hakuna ardhi
- Kiwanja/kiamba KUUZIWA mpaka ukoo uamue nanukoonunaweza kuamua Bado wajukuu wakaja kukuzingua vile vile
- Biashara huku ni pombe, kitimoto na vyakula vya kuku, na kila mtu anafanya, na wewe chasaka ni ngumu kufanikiwa
- Ufugaji huku ni mgumu, maana hakuna ufugaji huria, inabidi mifugo yako ukatie majani, na wewe chasaka huna sehemu ya kukata majani inabidi ununue. Hata kuku Chakula Cha kununua
Usione Kilimanjaro imejaa wazee ukafikiri ni bahati mbaya, vijana wanakimbia huku maisha magumu sana
Bei ni ndogo ya kitu gani?Kwahio bei ni ndogo sababu ya competition ?
Kila mtu anaweza kutengeneza Nini?Ambacho kila mtu anatengeneza na unaweza kununua kwao au hawakuuzii ?
Ugumu wa maisha ni:Ugumu wa maisha ni upi ?, Binafsi nadhani ni perspective huenda Kiu yao / their dreams ni tofauti (mchagga na pesa ni pete na kidole vilevile competition ya kuwa nazo zaidi ya mwingine watu wanakwenda huku na kule ku-accumulate pesa / utajiri sababu mwisho wa siku kwao ndio mafanikio / kipimo cha kufanikiwa (ile status ya mmasai na mifugo kwao ni pesa)
Chakula ni Bei ghali kuliko hata Dar.Hivyo kwa mtu wa kuridhika umesema kuna chakula,
Pombe ni Bei ya kawaida Kama sehemu nyingine, na vile vile ni option.pombe n.k.
👆hapo kasoro niliyoiona ni hospitality kwa mgeni huenda isiwepo wewe usipokuwa kabila hilo na culture hizo huenda ukawa kama mkimbizi; Kwahio utofauti wako huenda ndio ukawa a disadvantage (Na hayo ndio waasisi walijaribu kuyamaliza ili tuwe na umoja wa kitaifa) lakini kuanzia Awamu iliyopita na sasa kuendelea naona kama tunataka kuyarudisha hence kupoteza the only advantage tuliyokuwa nao kama watanzania tofauti na Dunia nzima....
Kwahio naongelea hio biashara ya vyakula vya kuku ambayo kila mtu anafanya
- Biashara huku ni pombe, kitimoto na vyakula vya kuku, na kila mtu anafanya, na wewe chasaka ni ngumu kufanikiwa
Kwahio mfano ukifuga kuku ambao chakula inabidi ununue ambacho kila mtu anafanya sababu hata wewe ukifanya huwezi kufanikiwa hence supply ni kubwa au ?
- Ufugaji huku ni mgumu, maana hakuna ufugaji huria, inabidi mifugo yako ukatie majani, na wewe chasaka huna sehemu ya kukata majani inabidi ununue. Hata kuku Chakula Cha kununua
Mkuu yale maeneo bado nanda hata sasa hivi ardhi ekari moja wanauza kwa laki mbili tu. Maji kiangazi hiki hayapatikani ktk kijiji cha rutoro. Ukienda mishambya yaleyale, kyarutare, kyobuheke na byengeregere ndiyo usiseme kabisa.Vingi ni kweli, lakini mara yako ya mwisho kufika hapo ni lini? sahv pamechangamka kidogo mkuu
Dasilamu oyee😂😂😂, kumbe stori za kidibwi mnapendagaNi kweli mkuu
Enzi hizo nikiwa bado msaga mashine wa kijiji kule kijijiji kwetu nimewala sana waalimu wapya maana mie ndo nilikuwaga mjanja mjanja ambaye niliwahi kufika Dasilamu[emoji38]