Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Dec 12, 2024 #1 Hivi waziri mwenye dhamani mbona hatoi selection za watoto wetu waliomaliza la saba 2024 wanaenda shule zipi kidato cha kwanza 2025,?
Hivi waziri mwenye dhamani mbona hatoi selection za watoto wetu waliomaliza la saba 2024 wanaenda shule zipi kidato cha kwanza 2025,?
Yo majesty JF-Expert Member Joined Sep 13, 2023 Posts 687 Reaction score 1,179 Dec 12, 2024 #2 Wakitoa mapema utajiandaa wanasubili muda uende watoe ukiwa na hali mbaya mwanao ashindwe kwemda shule
Wakitoa mapema utajiandaa wanasubili muda uende watoe ukiwa na hali mbaya mwanao ashindwe kwemda shule