Kupangiwa shule wanafunzi wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza itatoka lini?

Kupangiwa shule wanafunzi wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza itatoka lini?

Morning_star

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
6,042
Reaction score
17,320
Hivi waziri mwenye dhamani mbona hatoi selection za watoto wetu waliomaliza la saba 2024 wanaenda shule zipi kidato cha kwanza 2025,?
 
Wakitoa mapema utajiandaa wanasubili muda uende watoe ukiwa na hali mbaya mwanao ashindwe kwemda shule
 
Back
Top Bottom