SeniorMaunda
New Member
- Nov 30, 2024
- 2
- 1
Sure wengi wajuaji for nothingChenye utapata humu kwa watu wa JF ni ujuaji na majivuno.
Wapigie cm au wa emailNaona kama labda sijaeleweka vizuri.
Mimi dashboard yangu inaonesha nitakuwa na interview za aina 2 yaani written test halafu namalzia na vipimo vya afya.lakini jamaa zangu kama 3 hvi wao dashboard yao inaonesha watakuwa na interview za aina 3 yaani written,vipimo vya afya halafu wanalzia na oral test. Sasa mimi kwenye dashboard yangu haioneshi hiyo oral test
Tuanzie hapa, umeomba kada gani huko Maliasili?Naona kama labda sijaeleweka vizuri.