Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wewe ni mpuuzi. Full stopChadema mnahangaika sana!
Mlipofurahia Sabaya kufungwa kimizengwe sasa ni zamu ya mwenyekiti Mbowe.
Acheni mahakama ifanye kazi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpuuzi. Full stopChadema mnahangaika sana!
Mlipofurahia Sabaya kufungwa kimizengwe sasa ni zamu ya mwenyekiti Mbowe.
Acheni mahakama ifanye kazi yake.
Upatanisho na CCM??TUOMBE UPATANISHO NA MUNGU SIYO MIUNGU
Hii ngoma kama ikielekezwa kama ilitotumwa /ombwa kwa mizimu na ikajibiwa kama ilivyoombwa kwa kweli itaondoka na vizazi kwa vizazi.yaani isikieni tuu kuna familia huko zimeteketea nyumba haziishi watu vizazi vineangamia kwa hili junguKuna Jambo linasambaa kwa Kasi Sana kwamba wenzetu huko Kaskazini wanapasua vyungu pale wanapoona Jambo limekaa kinyume Cha haki ili miungu yao iangaike na wale walioshiriki aidha kuua, kuiba, kudhulumu au kumnyanyasa mtu mwingine. Kwa wasimavyo Chungu uangaika na kizazi na hakichagui kabila Wala umri. Kwa mnaofuatilia kuna kipindi tuliona matangazo kwenye groups kuhusu kusudio la kupasua Chungu huko Moshi nadhani Tundulisu alipopigwa Risasi na serikali baada ya kusikia lile tangazo walielekeza wahusika wakamatwe na njia zifanyike kisipasuliwe. Means wapo baadhi ya watu wanaamini kina madhara na kinaua. Swali langu, kwa kuwa Taarifa zinadai safari hii Kuna vyungu vimepasuliwa huko Moshi kwa ajili ya wale wanawatesa watuhumiwa na Ugaidi, je tunaamini kinaweza kuleta madhara?
Lakini kwa upande w pili ,wapo watu wameamua kufunga na kumwomba Mungu awaadhibu wanaohusika na uovu huu. Je tunaamini maombi yao hayatapokelewa? Je yakipokelewa Nani ataadhibiwa na Nani hatoadhibiwa?
Kama tunaamini Chungu na Kufunga Ni njia sahihi yakuangaika na wanaotesa wanadamu wenzao kwa kujitwalia mamlaka, kuna haja gani yakuangaika kumbembeleza kiongozi wa kisiasa au mtumishi wa Umma atende haki wakati tayari mitego yakumshughulikia asipotenda haki ipo? Na kwanini wanaopindisha haki wanatafuta laana kwa vizazi vyao?
Chadema mnahangaika sana!
Mlipofurahia Sabaya kufungwa kimizengwe sasa ni zamu ya mwenyekiti Mbowe.
Acheni mahakama ifanye kazi yake.
Kinga dhidi ya kuvunja katiba sio ma bodyguard. Kama walifanikiwa kummaliza basi wana akili kumzidi japo alikuwa na dola.Tuletee proof na sio story za vijiweni magufuli alijiekea kinga coz kuna watu aliowatumbua walitaka kummaliza. Na wamefanikiwa na baada ya hapo wakataka waue image yake
kuna kesi mpya ya ubakaji ya Sabaya inakuja , sisi tutaendelea na mila zetu za kupasua chungu na kufunga , mwaka huu ukiisha salama kabla mtu fulani hajapinda mdomo sijui !Chadema mnahangaika sana!
Mlipofurahia Sabaya kufungwa kimizengwe sasa ni zamu ya mwenyekiti Mbowe.
Acheni mahakama ifanye kazi yake.