Kupasuka kwa salama kondomu

kuna point hapa!!
 
Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!

Mdau


Siku hizi wachina wanazitengeneza hata kwenye nyumba za watu za kupanga huko Madale, Tandale, Mbagala, zitakuwa na ubora kweli?
 
Badala ya kuhangaika na kununua Kondom pekee ambayo haina uhakika wa usalama wa uhakika.
Ni bora kama mtanunua kile kipimo Famasi kimoja shilingi elfu tatu, viwili sita elfu, halafu mkajipima wote, kabla ya tendo lenu.
Hapo hata kondom ikiwapasukia kuna usalama wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…