Kupasuka kwa salama kondomu

Kupasuka kwa salama kondomu

Licha ya kupasuka hii kero waiangalie vizuri nyingi zinakuwa fupi fupi watoe ndefu kwa warefu na zile fupi kwa wanaojijuwa wafupi.

Extra large yaani (XL),Medium (M) na small (S)
-yaani ukienda pharmas unasema:

Unayehitaji...nipe durex 2
Mhudumu...size ipi?
Unayehitaji...small,au medium

Sio wanatulazimisha size moja hiyo hiyo wote.

Maana ukivaa inajivuta.
kuna point hapa!!
 
mkuu jaribu hizi
download.jpeg
 
Wadau, naomba tujuzane, hizi salama kondomu mbona ni kama hazina ubora wowote? Yaani hata kabla game halijachanganya zinapasuka,,,aliyepata kadhia ebu tujuzane!

Mdau


Siku hizi wachina wanazitengeneza hata kwenye nyumba za watu za kupanga huko Madale, Tandale, Mbagala, zitakuwa na ubora kweli?
 
Badala ya kuhangaika na kununua Kondom pekee ambayo haina uhakika wa usalama wa uhakika.
Ni bora kama mtanunua kile kipimo Famasi kimoja shilingi elfu tatu, viwili sita elfu, halafu mkajipima wote, kabla ya tendo lenu.
Hapo hata kondom ikiwapasukia kuna usalama wa kutosha.
 
Back
Top Bottom