teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 307
- 204
kuna point hapa!!Licha ya kupasuka hii kero waiangalie vizuri nyingi zinakuwa fupi fupi watoe ndefu kwa warefu na zile fupi kwa wanaojijuwa wafupi.
Extra large yaani (XL),Medium (M) na small (S)
-yaani ukienda pharmas unasema:
Unayehitaji...nipe durex 2
Mhudumu...size ipi?
Unayehitaji...small,au medium
Sio wanatulazimisha size moja hiyo hiyo wote.
Maana ukivaa inajivuta.