Sijui kama ni tatizo ila nahisi una kinyaa na nyama,nilipoanza kusoma hii thread yako nilifikiria utaishia kusema kuwa unaumwa ukila nyama nikajua nimepata mwenzangu wa ku-share experience,mimi niameacha kula nyama huu ni mwaka wa 6 sasa kiasi cha kwamba sisikii hata hamu ya kuila,nikila nyama huwa ninaumwa tumbo vibaya sana,ingawa nategemea naweza kuanza kuila tena soon kwani kuna dose moja alinishauri
MziziMkavu kuitumia imeonyesha uwezo wa kutibu tatizo langu for almost 80%,nasubiri wiki hii iishe ili niweze kutoa ushuhuda wa hiyo medicine,pole sana subiri wataalamu wengine wanaweza kukupa mawazo ya kukusaidia.