Little Angel
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 1,212
- 373
najua inaweza kuonekana kama nia ajabu lakini ninapata hii hali mara kwa mara ninapokuwa nakula nyama ya aina yoyote mpaka nashindwa kuelewa. ni mzima wa afya kabisa but ninapokuwa nakula nyama huwa nafeel guilty na wakati mwingine nakuwa kama nataka kutapika. juzi i was with my friend tunapata ugali nyama choma baada ya muda nikawa kama nataka kutapika. nilijisikia vibaya sana,
plz naomba msaada wa mwenye kujya hili kama ni tatizo au la.
thx sana.
plz naomba msaada wa mwenye kujya hili kama ni tatizo au la.
thx sana.