Kupata bad feeling wakati nakula nyama

Kupata bad feeling wakati nakula nyama

Little Angel

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,212
Reaction score
373
najua inaweza kuonekana kama nia ajabu lakini ninapata hii hali mara kwa mara ninapokuwa nakula nyama ya aina yoyote mpaka nashindwa kuelewa. ni mzima wa afya kabisa but ninapokuwa nakula nyama huwa nafeel guilty na wakati mwingine nakuwa kama nataka kutapika. juzi i was with my friend tunapata ugali nyama choma baada ya muda nikawa kama nataka kutapika. nilijisikia vibaya sana,

plz naomba msaada wa mwenye kujya hili kama ni tatizo au la.

thx sana.
 
Sijui kama ni tatizo ila nahisi una kinyaa na nyama,nilipoanza kusoma hii thread yako nilifikiria utaishia kusema kuwa unaumwa ukila nyama nikajua nimepata mwenzangu wa ku-share experience,mimi niameacha kula nyama huu ni mwaka wa 6 sasa kiasi cha kwamba sisikii hata hamu ya kuila,nikila nyama huwa ninaumwa tumbo vibaya sana,ingawa nategemea naweza kuanza kuila tena soon kwani kuna dose moja alinishauri MziziMkavu kuitumia imeonyesha uwezo wa kutibu tatizo langu for almost 80%,nasubiri wiki hii iishe ili niweze kutoa ushuhuda wa hiyo medicine,pole sana subiri wataalamu wengine wanaweza kukupa mawazo ya kukusaidia.
 
unatakiwa kuwa ras...itikia wito
wengine watakuambia una jini amabalo alitak nyama
wengne watakuambia ni tatizo la kiakili tu ...

mimi sijui ata nin shda
 
stephot nashukuru kwa mawazo yako. kiukweli siumwi ila tu najisikia vibaya sana, pia nakuwa na ile hali ya kuregret kwanini nimekula afterwards, nilianza na samaki nilikuwa nikila baadae napata hii hali,nikaacha. sasa tena nyama.
 
unatakiwa kuwa ras...itikia wito
wengine watakuambia una jini amabalo alitak nyama
wengne watakuambia ni tatizo la kiakili tu ...

mimi sijui ata nin shda

my dia hata mi naona bora tu niwe ras.. ipo siku nitaabika mbele za watu kama ilivyotaka kunitokea juzi. i hpe ni tatizo la kiakili tu maana hayo mengine hata sitaki kuyasikia na kuyaamini.
 
Back
Top Bottom