Kupata fremu za biashara maeneo yenye muingiliano wa watu ni tabu sana

Hiyo ni wewe tu huko tulisha toka tuko online business interaction yatu sio yakutafuta sehemu sijui
Mkuu, siyo kila biashara inaweza kwenda properly huko online. Pia siyo wateja wote wanafatuta bidhaa online. FRAME ina umuhim wake sana zaid ya ujuavyo.
 
Halafu kuna Bwana Nape anakuja anapandisha bundle anakwambia serikali ipate mapato zaidi. Huwa nakaa natazama hii inchi raia na viongozi wake ni changamoto kubwa sana aisee.
 
Sorry. Mimi sio mfanyabiasha. Ila nadhani ungemuuliza kwanza nature ya biashara yake, kabla ya kumshauri aende online. Usikute labda anawaza kufanya biashara ya chakula?
Kwan chakula watu hawauzi huko online au wewe ni mgeni na mambo ya mtandaoni?!
 
Wakuu, poleni pia hongereni kwa majukumu.

Hivi ni mimi tu au kuna wengine wanapitia changamoto kama yangu, hii issue ya kukosa frame ya biashara maeneo yenye interaction ya watu?

Mwezi wa 5 2021 niliona frame kwenye location Bora sanaa.
Mara nikasikia "kijana mwenye biashara anataka kuiachia frame"

1. Nilimtafuta kijana nikaongea nae kuhusu kuniachia, nikaona anaanza kuringa
2. Nikaona nitaikosa, nikamtafuta braza ake nikampanga.
3. Nikamtafuta mwenye nyumba nikampanga.

Nilifanya vingi ila nili-fight wiki 3 mfululizo huku na madalali nao wakikomaa nayo.

Ila at the end NILISHINDA.

Na mpaka sasa biashara inafanyika.

Kupata biashara location nzuri Taabu sanaa ila PAMBANA INAWEZEKANA.

#YNWA
 


Niambie biashara kama hii ambayo wateja wake ni bar napub kwanini isihitaji frame.
Unajua Kuna mtu anahitaji wine ya saint Anna, ila akifika dukani akiikosa unakuta anazoom duka zima na kuagiza kinywaji kengine atakachoona kwenye shelf.

Kwanini usiwe na frame?

#YNWA
 
Wakuu, poleni pia hongereni kwa majukumu.

Hivi ni mimi tu au kuna wengine wanapitia changamoto kama yangu, hii issue ya kukosa frame ya biashara maeneo yenye interaction ya watu?
Ukiwa huna hela huwezi pata ila we zisake za kutosha unapata sio frem tu hata nyumba unanunua
 
Kwani biashara ya chakula haifanyiki online?
Wateja wengine ambao nao ni potentia customers Hawana smart phone.
Kazini kwetu Kuna kijana hamiliki smartphone tokea nimjue ni mwaka sasa.
Huyu utampataje kama sio kutenga location Bora ya kumlenga?

#YNWA
 
Kwani biashara ya chakula haifanyiki on-line
Hivi ni Watanzania wangapi wananunua chakula online?
Yaani wanajua kabisa kuna mtandao X nikiingia nakutana na menu ninayoitaka, naagiza kisha delivery then nakula? Kama hiyo mitandao ipo, na bei zake ni rafiki mpaka kwa watu unaoweza kuwakuta kwenye muingiliano mkubwa, naomba unijulishe... huenda ukawa umenisaidia kuaccha kufuata misosi nusu mile.
Au online zetu ndo hizi za mama ntilie au mgahawa fulani anapita, au anapiga simu, anachukua order then anawaletea msosi baadae?
 
Wateja wengine ambao nao ni potentia customers Hawana smart phone.
Kazini kwetu Kuna kijana hamiliki smartphone tokea nimjue ni mwaka sasa.
Huyu utampataje kama sio kutenga location Bora ya kumlenga?

#YNWA
Jamaaa limekalili neno online,. Usikute hata biashara ni dalali anapiga picha bidhaa za watu anazitangaza uko online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…