Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
GPA ya Harvard inagawanyika sehemu mbili: 1: Kichwani 2: ChetiShalom shalom
Licha ya kuwa na elimu duni wanayotoa pia kupata GPA kubwa na kali imekua anasa kwa vyuo vya serikali Tanzania kuliko hata HAVARD na vyuo vingine vikubwa duniani na sababu kubwa ikiwa sio kwamba wanafundisha sana la hasha bali kuna miungu watu nasio malecturers.
Hata hao wanaoliuza watu GPA yako kubwa umeipata chuo gani, ukijibu sio cha serikali watasema ni GPA ya mchongo lakini kiukwel hizo GPA ndogo za UDSM na vyuo vingine vya serikali hazihusiani na masuala ya academic bali ni mambo ya kutengenezwa na miungu watu waliopo huko.
Kama unaona mm nadanga watu waliosoma nje watakuja kusema hapa.
Mm nmefikisha ujumbe tu
Hiyo hiyo kichwani na cheti bado ni rahisi kupata Kali kuliko udsm na majalala mengineGPA ya Harvard inagawanyika sehemu mbili: 1: Kichwani 2: Cheti
Nyingi ya GPA za bongo zinabaki kwenye Cheti ni wachache zinaenda Kichwani.
kuna kitu chochote hapa duniani ambaho ni kila kitu ?GPA sio Kila kitu katika Maisha , kushindwa kufaulu UDSM kusikurudisha nyuma kupambania Kesho ilio bora
Uhai(Afya) ni Kila kitukuna kitu chochote hapa duniani ambaho ni kila kitu ?
Wahi hospital kabla hujaanza kuvua nguo hadharaniHarvard au Cambridge hamna GPA ya 5.0
Kama tu umeshidwa ku google ukajua maxmum GPA ya Harvard 4.0 sio 5.0 utaweza kupata A UDSM?